Nitumie njia ipi kumrudisha mwanangu?

Nitumie njia ipi kumrudisha mwanangu?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,306
Reaction score
3,228
Habari zenu wakuu, asanteni wote mliopitia uzi wangu uliopita na mkanishsuri vizuri na wengine mkaniponda, vyote vimenijenga asanteni sana wote.

Nimefikiria nahitaji niitafute damu yangu, je, nifanye nini ili mtoto nimpate na niongee vipi na mzazi mwezangu tumalize ugomvi na tulee mtoto wetu?

Nimepiga simu mara 10 hajapokea, kanitumia sms yuko bize nimpigie jioni.

Screenshot_20230314-123841~2.png
 
Habari zenu wakuu asanteni wote mliopitia uzi wangu uliopita na mkanishsuri vizuri na wengine mkaniponda vyote vimenijenga asanteni Sana wote

Nimefikiria nahitaji niitafute damu yangu je nifanye Nini ili mtoto nimpate na niongee vipi na mzazi mwezangu tumalize ugomvi na Tulee mtoto wetu

Nimepiga simu Mara 10 hajapokea kanitumia sms Yuko bize nimpigie jioni
View attachment 2550456
Mpigie jioni
 
Habari zenu wakuu asanteni wote mliopitia uzi wangu uliopita na mkanishsuri vizuri na wengine mkaniponda vyote vimenijenga asanteni Sana wote

Nimefikiria nahitaji niitafute damu yangu je nifanye Nini ili mtoto nimpate na niongee vipi na mzazi mwezangu tumalize ugomvi na Tulee mtoto wetu mtoto ana 5 year now hamjui baba sijui kashapewa baba mwingine uko

Nimepiga simu Mara 10 hajapokea kanitumia sms Yuko bize nimpigie jioni
View attachment 2550456

Akili za kijinga hizi
 
Ni story ndefu kidogo Ila sikukataa kulea najua me ndo chazo Cha haya yote lakin haikupaswa kuninyima haki yangu ya kuwa na mwanangu
Mi alikataa kutunza mimba mpaka mtoto mwenyewe.... mwanangu na miaka nane sasa.Asubiri amtafute akikua kama ulivyosema kwenye thread iliyopita
 
Back
Top Bottom