Nitumie njia gani niisahau pombe?

Kisa cha ukweli, Mzee mmoja alikuwa mlevi sana, alikuwa mtumishi wa umma, Alikuwa mlevi na hela yake yote ilikuwa inaishia kwenye pombe.

Mke wake na watoto walijitahidi sana kumsihi aache pombe lakini jitihada zao ziligonga mwamba.

Ili bidi mke wake aanze kuulizia dawa za kuaacha pombe, alifanikiwa kupata dawa toka kwa mzee mmoja hivi mkoani.

Dawa hiyo ilipaswa kuchanganywa kwenye chakula au kinywaji, siku hiyo ilikuwa jmosi mama alimwekea kwenye chakula cha mchana, baadaye mzee kama kawaida yake akaenda zake kupata bia zake.

Baada ya masaa kadhaa, mzee dawa ziakanza kufanya kazi mzee wa watu alipita mtaani huku amevua nguo zote anapiga jaramba nyuma watoto wanaimba kwa kumtaja jina lake, watu wakampelekea taarifa mke wake, ilibidi mke wake atoke na kanga kumfuata na kumsitiri na kumrudisha home, Ilikuwa aibu ya mwaka mtaani, na kuanzia hapo yule mzee aliacha pombe kabisa, kwasasa ni swala tano.

Yule mama ilibidi ampigie yule mzee na kumlaumu sana hata hivyo yule mzee alimwambia hiyo ilikuwa dozi ya awali, ingeshindikana hiyo iangempa dozi ya pili.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Uwiii hii kweli dawa khaaa
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Changanya na maziwa ya nguruwe hutokuja kunywa tena hata siku mojaa mkuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom