Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

Nasema no! no! no! Cheza mbali na hicho unachokitaka!




IWAPO KAMA ALIKUPENDA WEWE IWEJE ASHINDWE KUPENDA WENGINE?
 
Unatafuta kifo cha kujitakia utakapo ona msg ikimsifia jinsi anavyotoaga 0713 kwa ufundi wa hali ya juu
 
Sidhani kama hilo ni muhimu kwako, labda kama unatafuta ushahidi muhimu wa kuimarisha/kuvunja penzi lenu.
 
Kiujumla kama ww unafaham kuhusu hiyo apps ebu jaribu kushare hapa tuone mambo ya pressure sijui nitakufa achana nao wewe kama unafaham vyema basi scroll down utujuze
 
nashindwa kukuelewa mpaka leo bado hujafanikiwa wakati mimi nimeitrack simu shosti kupitia huu uzi wako. Unachotakiwa kutambua hio application unaiweka kwenye simu ya mpenzi wako halafu wewe utakuwa unazipata sms zote anazotuma na anazotumiwa pamoja na kuona simu zote anazopiga na anazopigiwa kwa kulog in kupitia pc au simu, maana unapo install hiyo application, utaweka user name pamoja na pasword ambayo utakuwa unatumia kuingilia kwenye hiyo tovuti ili kuona rekodi ya device ya mpenzi. TAMBUA SMS HAZIINGII KWENYE SIMU YAKO. Kwa yoyote anayetaka maelezo zaidi piga 0759262635 wida

Naomba nikutafute kwa hili jambo mkuu tusaidiane
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wako kama unampenda kweli hayo yote ya nini? Utakuja kukuta sms za ajabu kisha ukashindwa kutoa maamuzi utabaki kuumia moyo tu.
 
Back
Top Bottom