Nataka kupokea pesa kutoka Ghana, nitumie njia gani rahisi kufanikisha

Nipo dodoma



Mtumie ID yako huyo mtu anayetaka kukutumia hela, mwambie akutumie hela western union

-Recipient Country Tanzania, City-Dodoma
Halafu akutumie risiti ili ukaonyeshe hapo benki (beba ID yako uliyomtumia jamaa)

Nenda Nyerere square, wewe nenda Benki ya CRDB inayotazamana na Nyerere.

Waonyeshe ID na risiti kweny simu ili apate ile ITCN number.
 

Attachments

  • 2536487Screenshot020.jpg
    2536487Screenshot020.jpg
    10.9 KB · Views: 11
Lakini pia ili iwe nyepesi kwk0.

Kama ana bank account huyo mtu, akutumie via world remit ili iingie direct kwenye simu ila iwe less than 2500 usd or equivalent to ghana cedes
Sidhan kama mtu wa ghana anaweza tuma ela kwa tz via worldremit. Kwenye utumaji nchi za kiafrika naona ni changamoto sisi wametuweka wapokeaji
 
Mtumie ID yako huyo mtu anayetaka kukutumia hela, mwambie akutumie hela western union

-Recipient Country Tanzania, City-Dodoma
halafu akutumie risiti ili ukaonyeshe hapo benki (beba ID yako uliyomtumia jamaa)

nenda nyerer square wewe nenda Benki ya CRDB inayotazamana na nyerere.

Waonyeshe ID na risiti kweny simu ili apate ile ITCN number.
ID ya taifa sina bado nida wamekaza kunipa nina kitambulisho cha mpiga kura tu
 
Mtumie ID yako.

Akutumie westernunion

maelezo nimekupa, kapokee hela yako hapo benki.

haina mbambamba
I'd kitambulisho cha taifa au hata cha kura kinatosha mana mpk leo nina namba tu ya nida kitambulisho cha taifa nida hawajanipa
 
Back
Top Bottom