Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa la jinai kama wewe sio mtumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama hivyo pia ujue jela inakusubiri
 
Kama hujiamini kwenye mahusiano ndo mahangaiko hayo yakuomba maaplication yaajabu. Sisi hatujui banaa
 
Habari zenu wanna wanna JF, naombeni mnisaidie a prication ya kupata text anazotumiwa mpenzi Wangu.

Rahisi sana. Nunua simu tatu zinazofanana mpatie moja iwe yake.
Chagua week end moja asubuhi, beba simu yake na acha ile nyingine.
Ila atakupigia baadaye kuhitaji simu yake. Mwambie sory uliichukua bahati mbaya na kwa muda huo uko Malinyi kikazi so asubiri utakaporudi utampatia.
Hapo utazisoma vizuri tu msj zote za weekend.
 
n
ninzuri pia ila cm 3 di@mbotoki
 
Mkuu huwa wanaweka password kila idara
 
Back
Top Bottom