Asante na Mungu akubariki.Ukitaka kusoma open ujiandae kutenga muda wa kutosha kwani hutakuwa na muda wa kuingia darasan mara kwa mara.
Hakikisha pale unapopata admission tu, tafuta vijana wanaosoma Law chuo chochote kile, waombe wakusadie au uwe unapiga nao discussion mara kwa mara na kukupa materials wanazotumia huko.
Tafuta darasa la weekend, kama upo Dar nenda pale open utawakuta walimu wana program za evening na weekend huko utapata uzoefu zaid na mwanga kwani sheria nayo ina terminologies zinzohitaji ufaham wa kuzitamka kupitia wataalamu.
Sheria inataka mtu anayependelea kusoma sana kila mara na sio kukariri kwa wakati mmoja, kwahiyo ujiandae kuwa matu wa kupenda kusoma vitabu vingi kila mara, yaani usiwe mvivu wa kusoma. Kama haupo vizuri jipe muda wa kuanzia miaka 4 au mitano ili upate muda mzuri wa kuiemdea sheria kwa mafanikio.
Kila la kheri katika maamuzi yako.
Jamani Mimi ni Mwalimu nimesoma B.A Ed.Natamani kusoma Law Open University.Naombeni mawazo yenu nitamudu vipi masomo?