Niko mbagala natumia vodacom.
Dar es salaam sidhani kama kuna eneo halina 3G ya voda
Swith 3G only afu zima washa simu uone
Setting >More>3G hapo uta-set WCM ONLY
Nilishawahi kutumia techno P5. Haiwezekani kuzifanya zote ziwe 3g Kwa wakati mmoja! Ila line yoyote Kati ya hizo 2 waweza ifanya I connect Kwa 3g ili mradi ni default data connection.
Unachotakiwa kufanya ni kuchagua default line for data connection kisha nenda system settings -
Mobile networks - 3g services - enable 3g (hakikisha default line yako ndo iko hapo - kama Soto yenyewe badilisha ili zifanane) na kwenye network mode hakikisha umechagua GSM/WCDMA (auto mode). Basi hapo tayari. Itategemea mtandao husika ukoje hapo.
OK huwez kutumia line zote kwa wakat mmoja kwa mtandao wa 3g but unaweza ukaswitch bila ya kupona na kurudisha line. Umesema unatumia tecno, ili uweze kufanya hivyo, ingia settings, kwny kipengele cha wireless & networks nenda "more" halafu "mobile networks" halafu 3g service halafu enable 3g,ukifika hapo utaona line ambayo inatumika kama default kwa 3g imetikiwa blue, utaselect hiyo unayotaka isome 3g itakwambia kitendo hicho kirachukua mda wa sek 10 then click OK, ikimaliza basi, unaweza kutumia 3g kwny hiyo line nyingine, na kubadili tena, fuata maelekezo yangu. Natumaini umepata msaada
Mi natumia tecno H6 inasumbua sana kwenye Internet.. Naomba msaada wa setting!!!