Hawezi lani line zote kusoma 3g kwa wakati mmoja. Ile unayotumia ndio isome 3g nyengine ibaki 2g.Natumia simu lain 2 sasa kwenye intanet nataka kutumia laini zote, ziwe zinasoma 3g. Niwe naseti wapi ili zisome zote 3g. Msaada kwasababu lain 2 inasoma E
Hawezi kani line zote kusoma 3g kwa wakati mmoja. Ile unayotumia ndio isome 3g nyengine ibaki 2g.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Hiyo yawezekana, nenda simcard manager > data service network chagua line unayotaka kutumia.nashukuru ila minilijua inawezekana kuseti ikiwa leo nataka kutumia lain 2 na 3g niihamishe bila kuhamisha lain
Natumia simu lain 2 sasa kwenye intanet nataka kutumia laini zote, ziwe zinasoma 3g. Niwe naseti wapi ili zisome zote 3g. Msaada kwasababu lain 2 inasoma E
si unajua mambo ya bando unakuta lain 1 hauna bando halafu lain 2 lipo.sasa kuhamisha kila mda kazi
Simu gani unatumia?
Mm natumika DUOS ya samsung inatumia line mbili Nikiwa na bundle Sim Card 1 basi na enable 3G sim card 1 lkn sim2 inabaki 2G...siku nikiunga kifurushi SIM2 basi na disable kwanza SIM1 ili niweze KU SET 3g SIM2 Kisha nai activate SIM1 lkn yenyewe itabaki sim2 nayo
Simu za Tecno nilizotumia hiki kitu hakikiwepo yaani SIM1 slot ndo 3G hivo line ilokua SIM2 haitokaa ipate 3G
Hope nimekujibu
ahsante, ninatumia tecno
Mi natumia tecno H6 inasumbua sana kwenye Internet.. Naomba msaada wa setting!!!
network ni E,3G au H au H+?
Kuna muda inasoma H ila maranyingi inasoma E.
Simu yangu haioneshi GSM/WCDMA Wala WCDMA inaonesha 3g only na 2g/3g auto.... Niko mbagala.
Ahsante... Sasa nikiweka 3g only haileti network kabisa... Ila nikiweka 2g/3g auto inaleta ila kwa kusuasua sana .