mafrey
Senior Member
- Nov 26, 2015
- 107
- 11
Habari,
Nina mpenzi ambaye kila siku nimuanze mimi kumtafuta na nikitegea aanze yeye inapita hiyo bila kuwasiliana ukimuuliza jibu lake nipo bize halafu nachoka sana nashindwa kumuelewa kwani wanaume wote wapo hivi nia yangu mnipe mbinu ya kuacha kuwasiliana kwa akili yangu siwezi.
Naomba msaada