Nitawezaje kukata mawasiliano kwa mtu ninaye mpenda?

Nitawezaje kukata mawasiliano kwa mtu ninaye mpenda?

na wewe kaa kimya ili umuonesha na wewe unaweza kuwa na mambo yatakayokufanya uwe bize usahau kumtafuta yeye.#silence mean a lot.
 
Kumbe hata wanaume huwa wanasusiwa eeh. Pole mwaya
 
Apply law of demand and supply,punguza mtafuta , lakini pia waweza ongea nae sometimes watu wana shidaa au ndo vilee ts over
In general mahusiano si mepesi,yataka uvumilivu
 
Habari,

Nina mpenzi ambaye kila siku nimuanze mimi kumtafuta na nikitegea aanze yeye inapita hiyo bila kuwasiliana ukimuuliza jibu lake nipo bize halafu nachoka sana nashindwa kumuelewa kwani wanaume wote wapo hivi nia yangu mnipe mbinu ya kuacha kuwasiliana kwa akili yangu siwezi.

Naomba msaada

Hakupendi
 
Dada usikurupuke nafas uliyo nayo ni kubwa kutenga muda umweleze hisia zako vitu unavyo penda na usiyo vinda

Tambua gunia husimama ukiliwekea nafaka ndani yake atabadilika tabia but sura mtavumiliana
 
Kupenda ni zaidi ya unachofikiri wewe. Wanawake wengi nahisi wanasilika moja inayofanana. Ni watu ambao wanapenda kudanganyang'wa na wanapoelezwa ukweli huchukulia ni uongo. Unaposema unampenda mtu mpende na anachokifanya ili akimu maisha. Hivi unanipigia simu kwa mfano niko kwenye kikao na wakubwa wangu wa kazi sijui unataka niwaambie kwamba mpenzi wangu amenipihia niruhusuni nikaongee naye na ama vipi. Mapenzi ni zaidi ya kupokelewa simu nani zaidi ya kupigiana Siku.
 
Huwezi kuacha kuwasiliana na unayempenda.labda utafute utakayempenda zaidi yake vinginevyo atakusumbua
 
Kukata chukua shoka tu ndugu kama kwa kisu hauwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom