Nitawezaje kukata mawasiliano kwa mtu ninaye mpenda?

Nitawezaje kukata mawasiliano kwa mtu ninaye mpenda?

Paulo huo ukweli haupingiki daima. Hata normal friendship unaona kabisa kuna rafiki mmoja atampenda mwenzake zaidi. Hata kama ni kwenye simu watatutafuta mara nyingi kuliko sisi tunavyowatafuta. Issue ni je una-value huo upendo na efforts za mwenzio?

Kila siku me ndo nikutafute kwa calls or texts, still utanijibu pale utakapojisikia afu unajibu kama umelazimishwa pyee. Nisipokutafuta unapiga tu kimyaa; Tukikosana me ndo nihangaike kufix mambo, wewe huna habari hata kama ndo una makosa. Aisee I'll just have to wave my hand, geratiiiiii. Hizo efforts za kuwasiliana na mtu asiye na time na mimi, ntazipeleka kwa Vitu vingine vya maana au watu wengine wanaojua thamani yangu.
Sasa mbona kama unanisema?
 
Ulimzoesha kumtafuta kila mara mwanzoni coz unampenda, kwahy yeye amekuw mtu wa kukusikilizia, wewe unavyomsikilizia na yeye anakusikilizia hivyo hivyo, hiyo haimaanishi moja kwa moja kuwa hakupendi, inabidi uchunguze

Hata kwa sisi wanawake, mwanaume akizoea kukupigia na kutext kila mara, slowly jukumu la kuanzisha mazungumzo linaelemea kwake. (sio mara zote)
 
Well said dear
 
Asanten kwa ushauri wenu nmewaelewa
 
Habari nina mpenzi ambaye kila siku nimuanze mimi kumtafuta na nikitegea aanze yeye inapita hiyo bila kuwasiliana ukimuuliza jibu lake nipo bize halafu nachoka sana nashindwa kumuelewa kwani wanaume wote wapo hivi nia yangu mnipe mbinu ya kuacha kuwasiliana kwa akili yangu siwezi naomba msaada

Njoo ufanyiwe maombezi usiteseke bureee.....
 
Habari nina mpenzi ambaye kila siku nimuanze mimi kumtafuta na nikitegea aanze yeye inapita hiyo bila kuwasiliana ukimuuliza jibu lake nipo bize halafu nachoka sana nashindwa kumuelewa kwani wanaume wote wapo hivi nia yangu mnipe mbinu ya kuacha kuwasiliana kwa akili yangu siwezi naomba msaada

He's not that into you. Tumia muda na ndugu zako na rafiki zako usipate mda wa kumuwazia.
 
Kwenye mahusiano yoyote hamuwezi kuwa sawa. Kuna chaser, na the chase. Lazima mmoja awe wa kudeka, mwingine wa kudekeza. Hakuna kitu kinaitwa usawa.

inategemea bhana Paulo!

at least kuwe na relative proportion of relationship and commitment!!
50% kwa 70% hvi au 90 kwa 60 walau!!
siyo inakua mmoja 20% mwingine 90% haifai kabisaaaa!!

mafrey amua, soma vitabu au la Fanya kitu chochote unachokipenda
Maisha ni ups and down, treat your own heart jifunze kujifunza kukabiliana na hali inayokuumiza!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom