Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

Azionekan zotee plus no name n expr dates.. nilikua makin man

Kutokua na name na expiry date doesnt mean havipatikani, vinapatikana kirahisi sana, the difficult part hua ni kutafta namba tu... afu kusema hazionekani zote hivi nani haoni kua ya kwanza ni 5 afu iliyofichwa hapo na mwanga ni 8??

Hizo namba mbili peke yake kwa brute force algorithm inachukua chini ya sekunde moja kujua namba zilizofichwa maana number of trials ni 10*10 peke yake, unless unambie kuna nyingine nne hapo mbele zimejificha.. Usiwachukulie easy sana watanzania, utalizwa usipokua makini
 
Mimi nafikiri bado nivigumu hata angeonesha full Card number... Maana hapo namba ya muhimu ni zile tarakimu tatu za nyuma ya Card ukikosea hizo no excuse huwezi pata hela za mtu bila hiyo
 
Kuna namba nne mwisho mbili mwanzoo pkus ujue mwez na tarehe ya kuxpire plus full name.. on top ya 3numbers on the back.. uyo mtu wa kugess zote izoo atakua god. Anyway nilitakaa kushukuru.. sikujua hii service ipoo n through here nimepewaa maujanjaa
 
Kutokua na name na expiry date doesnt mean havipatikani, vinapatikana kirahisi sana, the difficult part hua ni kutafta namba tu... afu kusema hazionekani zote hivi nani haoni kua ya kwanza ni 5 afu iliyofichwa hapo na mwanga ni 8??

Hizo namba mbili peke yake kwa brute force algorithm inachukua chini ya sekunde moja kujua namba zilizofichwa maana number of trials ni 10*10 peke yake, unless unambie kuna nyingine nne hapo mbele zimejificha.. Usiwachukulie easy sana watanzania, utalizwa usipokua makini

Bila cvv uzeeka!
 
Kuna namba nne mwisho mbili mwanzoo pkus ujue mwez na tarehe ya kuxpire plus full name.. on top ya 3numbers on the back.. uyo mtu wa kugess zote izoo atakua god. Anyway nilitakaa kushukuru.. sikujua hii service ipoo n through here nimepewaa maujanjaa

kaka umejaribu kuunga hiyo card na paypal uone kama itakubali kupokea pesa yako?
 
Inakubalii... manaa hii ni account ya usa.. so just google send money from PayPal to payoneer... mi nilifuata steps fresh. .. infact naweza kutengeneza account ya paypal kwa hii card... so again yes
 
Alaf kuna garama juu kidogoo. Ila mi siitumii sanaa paypal to payoneer. . Elaa kutokaa kwenye freelance kama elance na fiverr zinatumwaa straight to payoneer account. So paypal itakuaa ya mimi kununulia vituu tuu akat hii ni ya kaz
 
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa.. website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa,?

Samahani mkuu,hiyo freelancing umeifanyaje fanyaje?
 
Google website tulizozitajaa ukoo juu.. amnaa njia rahis zaid ya kuhustle kaka
 
Back
Top Bottom