- Thread starter
- #21
Inawezaa ukawaa ryt.. ilaa paypal bfo hutoii apaa so far option uliyonayo ni kuchukua ela paypal kuzituma kwa rafiki akurumie kwa westw union.. process yote iyo ni ndefu na price itakuaa juu.
Ila as I say juzii tuu ndo nimejuaa kuhusu hii kitu.. so myb baada ya kunzaa kutumiaa ntawaambia... maishaa kujaribuu ausio?
Ila as I say juzii tuu ndo nimejuaa kuhusu hii kitu.. so myb baada ya kunzaa kutumiaa ntawaambia... maishaa kujaribuu ausio?