Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na miili yao ndo usiguse coz kuanzia matiti (chakula ya mtoto), mahipsi (bastola), makalio (wezere) yaani ni balaa tupu nasikia mpaka yale mambo yetu ya "virginity" wanadeal nayo.
In actual fact wanawake wa kiafrika yaani wabantu wana miili mikubwa na ya haja lakini nyakati hizi ni vigumu kumgundua mwanamke wa kibantu na mwanamke wa kiafrika mwenye uartificial wa kichina. Mbaya zaii hao wachina wenyewe maskini hawana hapa shobo na hayo maumbile kwa kuwa wameridhika na mungu alivyowapiga pasi.
Sasa wana jf hebu nipeni hints/principle ya kumgundue mbantu asilia na mbantu wa kuchovya kwa wenzetu kina "hu haa maaasta".
Njoo nikufundishe kutofautisha...Ninyi wenyewe artificial wa tabia balaa. Wasanii kuliko hata Ze comed....mnabadilika kama vinyonga. Hamjui hata mnataka nini? Mkipendwa oohh ananishobokea, akikauka mtu ooh anaringa. Mkiombwa buku tu ya vocha ooh wanapiga mzinga, usipoomba ooh anajifanya anazo. Ukilipa bili ya msosi siku mbili tatu ooh hawezi hata kuchangai gharama za outing.....akitoa ooh anajifanya na yeye anaweza kulipa bill.
Mara ohh sio wife material, khaaa mtutue....kajipangeni upya. Ndio maana mnaishia huko kwenye ua-artificial. Mkome tutawawekea mpaka naniliu Fake.

hivi unawataka wa kuchovya ili uwachovye au kuna nini haswa?
OMG u sound like a victim of wat u juc said,,pole sana na usipaniki wapo wakina sisi tusiozungumza na kuheshimu maamuzi binafsi na personal freedom.Njoo nikufundishe kutofautisha...Ninyi wenyewe artificial wa tabia balaa. Wasanii kuliko hata Ze comed....mnabadilika kama vinyonga. Hamjui hata mnataka nini? Mkipendwa oohh ananishobokea, akikauka mtu ooh anaringa. Mkiombwa buku tu ya vocha ooh wanapiga mzinga, usipoomba ooh anajifanya anazo. Ukilipa bili ya msosi siku mbili tatu ooh hawezi hata kuchangai gharama za outing.....akitoa ooh anajifanya na yeye anaweza kulipa bill.Mara ohh sio wife material, khaaa mtutue....kajipangeni upya. Ndio maana mnaishia huko kwenye ua-artificial. Mkome tutawawekea mpaka naniliu Fake.
..................waliochovya ili naye awachovye vilivyo.....................
OMG u sound like a victim of wat u juc said,,pole sana na usipaniki wapo wakina sisi tusiozungumza na kuheshimu maamuzi binafsi na personal freedom.
LD acha jazba...................ulianza vizuri kuwa utamfundisha namna ya kuwatofautisha lakni kwa sababu ya ghadhabu zako umeishia kumkosoa badala ya kumwelimisha .......................kama ulivyokusudia awali.............sasa rudi polepole na umwelimishe vizuri.........................atawatofautishaje maana huenda anataka hao waliochovya ili naye awachovye vilivyo............ngoma iwe ni dorooooooooooooooo