hii nchi tuna tatizo kubwa sana,Yeriko umeleta hoja nzuri lakini zimeishia mipasho! Umesema ya OIC,KADHI,million 50 kila kijiji etc,nakubari kuwa siasa za Tanzania siyo za CCM au CDM wote hawaeleweki! Kuna watu walimtukana saaaana Jakaya kuwa kafeli karibu kila sekta ila Leo kwao ndo shujaa! Kuna watu(na wewe) walimtusi sana Lowasa na kumwita Fisadi BT leo ukiwauliza hawana la kusema! Mm naona CDM mnashindwa kuwa serious na mnaiga siasa za CCM ambazo mnasema zimefail so hamuwez kuiondoa ccm madarakani kirahisi. Kuweni serious,fanyeni mambo yenu bila blabla na muwe na msimamo thabiti. Rekebisheni kwanza huko ndani ili muwe na moral authority ya kuwakosoa ccm na muonekane kama mbadala wa kweli siyo mlivyo sasa hivi kama makanjanja.- peleka hizi hoja CDM ili mjirekebishe kwanza ndo tuwape nchi otherwise vyombo visipowaamini hampewi nchi hata mtembee uchi.