Nitawashangaa sana AU wakikubali mapinduzi Zimbabwe!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.

leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.

Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.

Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.

Siku zote wazungu wamesisitiza kuhusu kubadilisha utawala kwa njia ya demokrasia...kwa nini wachekelee mapinduzi? Kwa nini hawatumii maguvu yao kuzuia mapinduzi?Je mfumo wa mapinduzi ni sehemu ya njia bora za kubadilisha tawala?

Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.

AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.

Inasemekana jeshi la Zimbabwe liliwasiliana na China ili kufanya hayo wanayotaka kufanya...kama hili ni kweli basi AU haina budi kumuonya China na ikiwezekana kumkataa kama muwekezaji kwani naye atakuwa amekubaliana na wazungu kuimaliza Afrika.

AU watakuwa na kikao kinachohusu usalama kesho...tusubiri tuone tamko lao.
 
Hivi kwanini CCM mnaogopa sana hii ishu? Kwani kuna ubaya gani kwa wazimbabwe kujibadilishia uongozi wao kwa njia zao wenyewe? Mnanusa nini kwani hadi mnaogopa hivi?

Haina tatizo jomba, laiti ungejua mzee Jongwe alivyodumaza uchumi wa Zimbabwe asee ungejiuliza haya majeshi yalikuwa wapi siku zote.

Unasema jamaa wameshindwa kumuondoa kwa njia za demokrasia, hivi kweli we Mjingawao ndani ya moyo wako na kwa dini yako kabisa unaweza sema hivi? Zimbabwe kulikuwa na demokrasia katika chaguzi zote?
 
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.

leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.

Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.

Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.

Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.

AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Mnaogopa? Endelea kuwapiga watu risasi na sandarusi.
 
AU wanadai hawatambuwi mabadiliko ya kiuongozi ya kimapinduzi, hapa naona wataongea na Comrade tu, kwamba yatosha, raia wanaumia, apumzike tu, Makamu rais ataongoza kwa muda, pamoja na kwamba wanadai Makamu hana tofauti kabisa na Comrade, twajuwa kilichotokea, yeye Comrade alitaka mazuri, unfortunately dunia inaongozwa na binadamu aliye mweupe, mwanaume, katili, mnyonyaji kufa, huyu binadamu akisema popote ulipo kwamba hufai sababu tu hujampigia magoti huwezi ongoza nchi, labda uwe na Nuclear Power, watayaongea, nchi ilifika pabaya sana aise..yatosha kwa faida ya raia...
 
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.

leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.

Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.

Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.

Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.

AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Hapo siyo kwa maslilahi ya Wazungu
 
Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37..
Sio wazungu. Wazimbabwe wenyewe wanaamini hiyo. Sijui kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kufanya maamuzi haya makini. Itabidi wamshukuru tu yule mama maana bila chokochoko zake za kuutaka uSamia Suluhu then uRais, jeshi lisingegutuka na kufanya what they should have done 5 years ago.
 
Mimi nawashangaa Wazimbabwe kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kumng'oa huyo kibabu!!

Ilifika wakati watu walianza kushindia majani na nyama za panya!!

Huyo kibabu alipaswa kuwa keshaondolewa muda mrefu sana.
Uchumi wa zimbabwe umetoka kwenye kurudi nyuma na kuanza kukua kwa asilimia 0.2%..
 
Sio wazungu. Wazimbabwe wenyewe wanaamini hiyo. Sijui kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kufanya maamuzi haya makini. Itabidi wamshukuru tu yule mama maana bila chokochoko zake za kuutaka uSamia Suluhu then uRais, jeshi lisingegutuka na kufanya what they should have done 5 years ago.
Hakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazungu
 
Back
Top Bottom