Watakuelewa mkuu ila uwe na kadi ya chama kwanzaKumbe masokoni wanapatikana? Ngoja nifanye mchakato....
Unadhani magogoni wanaweza kunielewa [emoji41][emoji32]?
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uchokozi wa wazi wazindege john; njoo uku kuna mtu anataka umwambie mnapatikana wapi?
Moja ya vitu ningependa kufanya ni kufuga aina mbalimbali za ndege.
Kuanzia kasuku, dove na pigeon na hata wale wa Ikulu!
Ningependa kujua wapi naweza kuwapata hawa viumbe....