Nitatoa zawadi ya 200,000

Niyeye mkuu, kwani hata namba aliokua akitumia haipatikani tena.
Pia nimefanya udukuzi kwa mambo machache na nikapata informations zake kadhaa
pole,atapatikana huyo,namba ya simu iko kwenye kitambilisho cha mpiga kura,uraia,leseni ya gari,ni rahisi tu,hili ni funzo tunapotuma fedha tuwe makini kwa kuwa kila kitu unaweza kuhakiki mwenyewe,kama jina unalijua ukifika pale neno la siri mtandao utakupa Jina,linganisha ndio ugonge 1.ndio gonga moja baada kujiridhisha,si hivyo,
 
Ulifanya kosa kubwa sana, next time ikotokea tena wakuwapigia ni mtandao husika, wanaiblock fasta wanakurudishia, haina hata haja ya kutoa hela km io 50 uliomu offer. Pole mzee
Kilicho tokea ni..... Nilichelewa kugundua makosa nili yafanya, na nilipo wapigia watu wa mtandao wakaniambia tayari muamala umeasha wezeshwa na jamaa tayari amesha zitoa.
Hivyo ikanibidi kwanza nifanye kutafuta details za jamaa kabla ya kumpigia na tuliongea kiungwana kabisa..... Ghafla akapotea
 
Pole Mkuu jasho la haliwezi badilisha maisha
 
Pakuanzia nenda kanisa la KKKT pale kimara jichanganye kama muumini wa kawaida ukiwa na picha yake ukianza kuwauliza waumini wa pale ndani ya wiki chache utakuwa umeshazipata taarifa zake .
 
Pole sana mkuu
 
szan kama huo.ni wizi jamaa.kaokota parachichi chini.ya mwembe mjadili uyo.syo.mwizi.
 
ongeza dau mkuu nikusaidie kumkamata🙂🙂🙂🙂,

ila anaonekana innocent etii?mnh kweli simba mwenda pole ndie mla nyama😕
 
Sa hiz usikute yuko mitaa anachoma kuku na bia mixer malaya........................ila kiundani naona jamaa hana kosa ...we ndo mwenye makosa.......................
Uyo jamaa aliekataa kurudisha hela nae analo kosa maana kataarifiwa na yeye kakiri kuwa hela imeingia na kapewa offer ya elfu 50 lakini hakurudisha na hapatikani hewani
 
Sa hiz usikute yuko mitaa anachoma kuku na bia mixer malaya........................ila kiundani naona jamaa hana kosa ...we ndo mwenye makosa.......................
Basi sawa mkuu
 
Pakuanzia nenda kanisa la KKKT pale kimara jichanganye kama muumini wa kawaida ukiwa na picha yake ukianza kuwauliza waumini wa pale ndani ya wiki chache utakuwa umeshazipata taarifa zake .
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…