laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
we nenda barabarani ukute bodaboda imepaki haina mtu ichukue halafu useme sikuiba nimeikuta barabarabi haina mwenyewe!🙁 wizi gani wakati umetuma mwenyewe then huyo jamaa namfahamu tumesoma wote Mbeya hakuwa na tabia hizo usikosee namba kipindi hiki kila mtu hapangiwi
Acheni kuchezea mitandao hawezi kuchepuka, sheria ya nchi inaeleza ukirushiwa pesa zisizo zako katoe taarifa polisi. Je alifanya hivyo.?.huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Tusubiri mrejesho wa ushimeniHlo kosa halimfung mtu amin nakwambia.... Cyo den wala hajaiba....
Acha kutukana watuhuo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
We na wewe mbona unakua nanga mkubwa wewe?? Ume ambiwa mtu kakosea. Kaongea nae amrushie pesa zake jamaa kapotea kabisa. Swala lakujua kama ni yeye si line zake kasajili kwa jina lake?? Na kama alitumia kitambulisho cha mtu. Basi huyo mtu ata saidia polisi kumpata mtuhumiwa. Kwasababu pia ni kosa kisheria kutumia kitambulisho cha mwezako au kumpatia mtu kitambulisho chako atumie kama yeye. We sheria yako Ume okotea wapi wewe Mtu Wewe?? Embu waza huko. usi kurupuke tu kujibu kisa unajua kuna kilipa fidia.huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Ni bora tu umpuuze aisee...... haelewi anacho kuzungumza nanga huyoNaomba nikupuuze aiseeeee......
Ipo siku nawe yatakukuta
Dah?? Mungu akuzidishie kwakweliTusizunguke mbuyu, Huyo Jamaa ni mwizi maana Kama pesa Imeingi Kwenye ac yako halafu hujui imetoka wapi ni busara kusubiri na kuona nani atakupigia, Mimi ilishanitokea siku moja hela iliingia kwangu yakutosha kiss nikasema doh, mambo yamekaa poa ila roho ikaniuma sana, nilikuwa na rafki yangu akanishauri tukaitoe fasta nikaona ni mwenye Tamaa nikampa ukweli kuwa sili jasho la mtu kwanza sijui kaipata vipi, nimekaa masaa mawili nishasahau nasikia sim inaita kupokea nasikia mama analia nikamuuliza vipi mbona walia na sikufahamu akaniambia amenitumia pesa kimakosa nikamuuliza sasa anacholia ni nini akaanza kujieleza mambo meengi nikamwambia pesa yake ipo salama cha msingi aongee na Huduma kwa Mteja wairudishe na kuanzia wakati huo sitafanya muamala wowote mpaka anijulishe kuwa amerudishiwa hela yake mama alifurahi sana, sikuona nimeshinda njaa kwasababu nimeachia pesa isiyo halali yangu, hivyo Mimi napitisha kabisa kuwa huyo mtu ni mwizi kabisa tena alaaniwe
Mrejesho mkuu!Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398
TCRA: Usimrudishie aliyekutumia pesa kimakosa mtandaoniAnatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398