Nitatambuaje iphone fake au originals?

Nitatambuaje iphone fake au originals?

Rweza79

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
207
Reaction score
48
Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
 
Iphone fake imeandikwa made in california usa, original ni made in china (a little confusion lakini original ni made in china)

angalia box lazima utakutana na wrong spelling, na kichina kichina kingi
 
Hebu rudia hapo mahali SILENT LION,naihitaji kuijua hiyo kitu maana nipo njiani kununua yangu,zinauzwa mpaka kilo 2 tu pale OHIO.
 
Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
Wasiliana na Pasco akupe jinsi alivyoingia mkenge wa hizi simu mitaa ya Mlimani City!...yeye alijua ukiwasha bluetooth na kuisendia kitu basi unaweza kujua ni og. ama la, lakini mbinu hiyo ndiyo iliyommaliza chapchap, akabaki anawayawaya!
 
Iphone zote zinazouzwa mitaani ni feki nakuomba usijaribu kununua kwani mbaya zaidi huwa hawafungui box uone. Original iphone haipungui USD 1000 na ukikuta iko chini ya hapo ambayo ni original ujue iko locked. Mi ninayo Iphone 5 nimenunua USD 1300 na iko vema.

Mkuu usijaribu at all kununua hizi za mitaani bali tafuta authorized dealers ambao wanauza simu originals.
 
The easy way check iPhone is genuine or fake



You are one of those iPhone fans; need to be aware of the recent widely circulated fake iPhone. So, how the check iPhone is genuine or fake. You need to know because it is clearly different between genuine and counterfeit products. Form very similar to the iPhone, but it turns out products that are replicas of the iPhone. Here are some things you should know how the check iPhone is genuine or fake.

  1. Each of the original Apple iPhone has always had the Serial Number (serial number to see the menu go to Settings-General-About). Serial Numbers With this we can check is genuine or fake iPhone on the official website of Apple. If you find that the product is genuine, then we can see how long the warranty of the iPhone.
  2. IPhone screen is made ??smaller than the original Apple iPhone. In addition, the resolution is also lower (picture looks more rugged appearance, not as smooth as the original iPhone).
  3. Icons on the iPhone clone a little more; it's understandable because of the small screen.
  4. iPhone clone operating speed is slower than original iPhone
  5. iPhone clone requires a stylus to access the menu because the iPhone Multi-Touch clone does not yet support the iPhone as well as where to access the menus with just a gentle touch.
  6. iPhone fake there is no Wifi connection, there is an additional application (can not install new applications) also did not have a Safari browser
  7. A copy of the iPhone can not be synced with iTunes on the computer.
Well, you know how the check iPhone is genuine or fake; you will not be fooled and can distinguish between genuine and counterfeit products.
 
ok ni rahisi sana,kwanza iphone feki haiwez kukonekti na itune store,pia iphone original inakuwa na safari browser ambayo ni built in ukiona browser nyingine hiyo ni feki,iphone original haina radio wala blutooth ya kukonekt na cmu zingine ambazo si iphone,iphone iriginal huwezi kuclick kwa kutumia stick au kitu chochote kisichokuwa na damum,pia hata ukiangalia graphics za iphone feki ziko poor sana yan utajua tu kama ni fek.SWALI!!
 
jaribu kuunga kwenye itunes na kama utaweza nunua au download something ujue ni original...mi nauza moja black 32GB ifon5 usd 1000...
 
Duh! Yaani ukiibamiza chini ndo utatambua u-fake na u-orijino wake,
lol!
1383114655575.jpg
 
Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
Mkuu,
Cha kuzingatia haraka haraka Kama uko mtaani angalia Kama Ina SAFARI BROWSER....clones huwa hazitumii SAFARI. Mambo mengine yanahitaji Uwe karibu na comp au laptop kuhakiki. Bei isikutishe mkuu,ndio hizo orijino tunazoibiwa mtaani na kwenye mafoleni.

Iphone fake imeandikwa made in california usa, original ni made in china (a little confusion lakini original ni made in china)

angalia box lazima utakutana na wrong spelling, na kichina kichina kingi
Mmmhhhh:shocked:....mara nyingi huwa zinaandikwa "Designed by Apple in California ...Assembled in China" na SIO MADE IN CHINA.
 
price above USD 1000 - 1300? a bit expensive kwangu mimi unless kama naweza kuitumia kama ka-laptop kadogo ka kuniwezesha kufanya kazi zangu kila mahali (nikisema kazi simaanishi kuchat kwny social networks na kusikiliza/ kurekodi miziki na kupiga picha).

ukiacha mawasiliano na applications za internet, what else can this phone do? naweza kuigeuza kuwa kitendea kazi kama laptop? nauliza hivi sbb ilibidi ninunue mini laptop sbb ya portability yake, inanisaidia sana napokuwa safarini. vipi khs hizo iphones na ipads? naweza ku-retrieve na ku-work na files kubwa, kufanyia powerpoint presentations etc?
 
usijaribu kununua kwa watu wanaoziuza mikonon na mtaani...hii itakusaidia sana ..nenda kwa authorized dealer..pili kwa muonekano tuu ni ngumu kujua maana zinakaribiana kabisa ...but icon zake ..jinc inavoandika kama fb sms nk utaona tuu...pia kwa upande wa fake huweka icone ya YouTube lkn c software ya kweli hasa ukiifungua..pia camer ake itaiona ni ya kuchora kwa rangi ya silver kaa wakati ile orijino imezungushiwa chuma flani ..nyingi huweka video ya kurekod kwene YouTube
 
nawashauri kama mnataka hizo simu original mnapata kwa bei nzuri sana pale Nairobi. At least from 500k za kitz. Mpya kabisa unafungua kwenye mabox mwenyewe.
Niulize kwa nini bei hiyo?
 
Mkuu cha msingi nenda

www.imei info.com

Halafu chukua imei ya simu kwa kuminya

*#06# halafu ukiingiza kwenye huo mtandao
itakuletea ni aina gani ya simu km ni
Nokia ya tochi lkn original
 
Back
Top Bottom