Nitatambuaje iphone fake au originals?

Nitatambuaje iphone fake au originals?

Mkuu cha msingi nenda

www.imei info.com

Halafu chukua imei ya simu kwa kuminya

*#06# halafu ukiingiza kwenye huo mtandao
itakuletea ni aina gani ya simu km ni
Nokia ya tochi lkn original

Hao imei info data za genuine imei wanaletewa na makampuni ya cm na ku feed kwenye database yao? Usikute hata wanaotengeneza clone simu zote wanacheza na hizo imei.
 
Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.

iphone fake cheki camera, cheki inavyodisplay utaona kama kuna chenga chenga hivi mwisho kabisa cheki sehemu ya kutuma sms lazima utaijua tuuu...mchina katengeneza simu feki lakini iphone feki kushindwa kuitofautisha na iphone yenyewe kashindwa
 
Hao imei info data za genuine imei wanaletewa na makampuni ya cm na ku feed kwenye database yao? Usikute hata wanaotengeneza clone simu zote wanacheza na hizo imei.

Hawa jamaa wa clone huwa wanaiba ime za simu mbali mbali ndo maana unashauriwa kwmba usiweke imei za simu yako hadharani au kwenye viwebsite ambavyo sio trusted hapo ndipo wanakoibiwa ime. Mfano ukichukua imei za smartsphone ya android clone na kuziweka kwenye searchbox ya imei.info itakuletea specs za simu nyingine kabisa tena hutu tusimu tudogo twa nokia nk.
 
KE gadgets kama simu especially, bei zake ziko chini kwa sababu wanaingiza hizo products kwa wingi sana.
Wamerahisisha biashara kwa kiasi kikubwa
Apple wenyewe America hawauzi kwa bei hiyo ingawa ma millions ya iphone yapo sokoni, hizo za KE lazima ni hizo hizo za China!! Unless ungenambia ni za wizi.
 
*#006# itakuletea imei hata kama ni fake inakua na imei pia na hybrid nyingi wanakua wamecopy hadi imei number, ila kwa Samsung original *#0000* inakuletea a screen with all functions kama camera na vinginevyo ndo njia rahisi na bora zaidi kugundua Samsung fake na original...I'm not sure kama inawork kwenye all Samsungs ila kwa S3, S4, S2 na galaxy note zote u can do that...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom