Usinene kwa hasira
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 391
- 434
Kwa kweli haijakaa sawa.Huyo ni mwongo. Hakuna issue kama hiyo
Kwa kweli haijakaa sawa.Huyo ni mwongo. Hakuna issue kama hiyo
Wewe ni mnufaika wa tenda za ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ndiyo maana umejitoa fahamu zoteBiashara ninayo na haijahathirika kwa chocchote wewe unauza nini madawa ya kulevya au bhangi hivyo vilishapigwa bani lakini biashara halali bado zinaendelea.
Sema unawakilisha wauza sembe nazo amebaa
Pesa zote trilion 1.5 mmeziiba kisha kumtoa CAG kafara makusanyo yote ya kudi mnakula wenyewe ndiyo maana watumishi wa umma hawajaongezwa nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka mitanoWakati amabapo tulikua hatulipi kodi sahihi au tulipokua tunafanya vitu nje ya mfumo tulisahau kwamba taarifa za biashara zetu kwa upande mwingine zinakinzana, na wakija kuzipitia watu tofauti na wale wanaotujua tutakamatwa na kulazimika kulipa. Sasa tukumbuke waliotusaidia au tuliokubaliana nao kipindi hicho hawapo na hata kama wapo hawana uwezo wa kukusaidia chochote kwa sasa zaidi ya kutushauri kufuata ushauri wa TRA
Kuna makampuni mengi sana ambayo yataendelea kupigika baada ya utekelezwaji wa sheria za kodi na kugundulika wanadaiwa mamilioni au mabilioni ya shilingi pamoja na penalties. Inaleta stress lakini kwa hili nimejifunza umuhimu wa kufuata sheria hata pale ambapo mamlaka husika hazinifuatilii.
Utii bila shurti ni muhimu sana kwenye kila jambo tunalofanya
Sasa jiwe kazima Twitter Whatsapp kwa njia haramu za kishetani akizani anawajomoa watu kumbe anawakomoa hata miccm piaHakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atampa kula yake Jiwe,
Mazingira ya ufanyaji biashara yamekuwa magumu
Baba la mama yako? Kama anajiamini iweje azime mitandao? Mnaficha nini?Magufuli babalao kwa kweli
Wahenga walisema yenye uchungu ndio tiba.
Wewe lini umelipa kodi? Wakati umegawa bilion 12 na Ndungai kule india kwa njia haramu za kishetaniLini umelipa kodi.. 🤣🤣🤣🤣
Hata Brela hupafahamu.. jaribu lingine..
Hahaha minyoo buana. Unafikiri kuna pesa za bure siku hizi. Ngoja cocochanel akuambie vizuri
Ila tupambane tutatoboa tuu
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa atamchagua mtukufu magufuli bali kinachofanyika ni Polisiccm na NECCCM Tumeccm kwenda kumsimika kwa kumpa kura walizotengeneza wao, mtukufu atakuwa Rais kwa sanduku la kura kubakwa kwa njia haramu za kishetaniNibambikwe kodi alafu nimchague magu ntakuwa sina akili timamu
Toa ujinga HapaKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine ziendelee.
Hakuna biashara iliyofungwa, lakini watanzania hawana shukrani wanasahau yote kisa mtu ambaye kwa ninavyomtazama mlengo wake si wa kimisimamo binafsi bali ya kuongozwa na anaowaamini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo. Tukipata kiongozi mzuri basi tumuache amalize awamu zote mbili.
Wewe una Akili ipi? Mbona wewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza mvuta Bangi tu, kuishi kwa hizo tenda kwenye miradi ya kifisadi kumekufanya ujitoe una Akili? Acha ufala wewe Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kama weweWeni wanaolalamikia biashara kufa ni chadema. Awali walisema hao ni mafisadi leo wanasema ni wafanyabiashara na wananyanyaswa.
Hii mijitu haina akili. Pakikosewa wanaimba Sana. Pakirekebishwa wanalaumu Sana. Lipi jema?
Wewe kapige kura
NECCCM Tumeccm wanayo matokeo mifukoni wanatumia matokeo ya lowasa wameongezea kidogo akapiga kura ya nini?Wewe kapige kura
Mshahara uongezwa penye tija.kitakachoshangaza zaidi ni wafanyakazi wa umma kumpa kura Magu wakati hajawaongezea mishahara kwa miaka mi5 huku gharama za maisha zikipaa juu!.
Wewe utakufa masikiniSioni tatizo watumishi kumchagua Magu. Pamoja na kukosa nyongeza za mishahara, lakini amefanya vizuri kwenye maeneo ya malipo ya kupanda madaraja na uhamisho. Nina miaka karibu 30 kwenye utumishi, sijawahi kuona malipo mazuri na ya uhakika kama awamu hii.