Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

Wakati amabapo tulikua hatulipi kodi sahihi au tulipokua tunafanya vitu nje ya mfumo tulisahau kwamba taarifa za biashara zetu kwa upande mwingine zinakinzana, na wakija kuzipitia watu tofauti na wale wanaotujua tutakamatwa na kulazimika kulipa. Sasa tukumbuke waliotusaidia au tuliokubaliana nao kipindi hicho hawapo na hata kama wapo hawana uwezo wa kukusaidia chochote kwa sasa zaidi ya kutushauri kufuata ushauri wa TRA

Kuna makampuni mengi sana ambayo yataendelea kupigika baada ya utekelezwaji wa sheria za kodi na kugundulika wanadaiwa mamilioni au mabilioni ya shilingi pamoja na penalties. Inaleta stress lakini kwa hili nimejifunza umuhimu wa kufuata sheria hata pale ambapo mamlaka husika hazinifuatilii.

Utii bila shurti ni muhimu sana kwenye kila jambo tunalofanya
 
Biashara ninayo na haijahathirika kwa chocchote wewe unauza nini madawa ya kulevya au bhangi hivyo vilishapigwa bani lakini biashara halali bado zinaendelea.
Wewe ni mnufaika wa tenda za ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ndiyo maana umejitoa fahamu zote
 
Wakati amabapo tulikua hatulipi kodi sahihi au tulipokua tunafanya vitu nje ya mfumo tulisahau kwamba taarifa za biashara zetu kwa upande mwingine zinakinzana, na wakija kuzipitia watu tofauti na wale wanaotujua tutakamatwa na kulazimika kulipa. Sasa tukumbuke waliotusaidia au tuliokubaliana nao kipindi hicho hawapo na hata kama wapo hawana uwezo wa kukusaidia chochote kwa sasa zaidi ya kutushauri kufuata ushauri wa TRA

Kuna makampuni mengi sana ambayo yataendelea kupigika baada ya utekelezwaji wa sheria za kodi na kugundulika wanadaiwa mamilioni au mabilioni ya shilingi pamoja na penalties. Inaleta stress lakini kwa hili nimejifunza umuhimu wa kufuata sheria hata pale ambapo mamlaka husika hazinifuatilii.

Utii bila shurti ni muhimu sana kwenye kila jambo tunalofanya
Pesa zote trilion 1.5 mmeziiba kisha kumtoa CAG kafara makusanyo yote ya kudi mnakula wenyewe ndiyo maana watumishi wa umma hawajaongezwa nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka mitano
 
Hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atampa kula yake Jiwe,
Mazingira ya ufanyaji biashara yamekuwa magumu
Sasa jiwe kazima Twitter Whatsapp kwa njia haramu za kishetani akizani anawajomoa watu kumbe anawakomoa hata miccm pia
 
Hahaha minyoo buana. Unafikiri kuna pesa za bure siku hizi. Ngoja cocochanel akuambie vizuri

Ila tupambane tutatoboa tuu

Mbona wewe umetafuna trilion 1.5 kisha kumtoa kafara CAG? Pesa za bure mnazo huko CCM ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani
 
Nibambikwe kodi alafu nimchague magu ntakuwa sina akili timamu
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa atamchagua mtukufu magufuli bali kinachofanyika ni Polisiccm na NECCCM Tumeccm kwenda kumsimika kwa kumpa kura walizotengeneza wao, mtukufu atakuwa Rais kwa sanduku la kura kubakwa kwa njia haramu za kishetani
 
Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.

Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine ziendelee.

Hakuna biashara iliyofungwa, lakini watanzania hawana shukrani wanasahau yote kisa mtu ambaye kwa ninavyomtazama mlengo wake si wa kimisimamo binafsi bali ya kuongozwa na anaowaamini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo. Tukipata kiongozi mzuri basi tumuache amalize awamu zote mbili.
Toa ujinga Hapa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Weni wanaolalamikia biashara kufa ni chadema. Awali walisema hao ni mafisadi leo wanasema ni wafanyabiashara na wananyanyaswa.

Hii mijitu haina akili. Pakikosewa wanaimba Sana. Pakirekebishwa wanalaumu Sana. Lipi jema?
Wewe una Akili ipi? Mbona wewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza mvuta Bangi tu, kuishi kwa hizo tenda kwenye miradi ya kifisadi kumekufanya ujitoe una Akili? Acha ufala wewe Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kama wewe
 
BOT inawapora wafanyabiashara wakubwa wadogo pesa zao wanazotumiwa toka nje kisha kuwatishia kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha, na TRA inawabambikia kodi kubwa kwa njia za ajabu ajabu, wafanyabiashara hawapo huru hawana Amani wanaishi kwenye rundo la manyanyaso makubwa mno, uchaguzi huru na haki lazima Lisu atakuwa Rais, lakini uchaguzi wa kutengenezwa na NECCCM Tumeccm na Polisiccm usio huru na wa haki utamsimika mtukufu magufuli ikulu kwa njia haramu za kishetani na kuwa Rais asiye chaguo la wapiga kura
 
kitakachoshangaza zaidi ni wafanyakazi wa umma kumpa kura Magu wakati hajawaongezea mishahara kwa miaka mi5 huku gharama za maisha zikipaa juu!.
 
Sioni tatizo watumishi kumchagua Magu. Pamoja na kukosa nyongeza za mishahara, lakini amefanya vizuri kwenye maeneo ya malipo ya kupanda madaraja na uhamisho. Nina miaka karibu 30 kwenye utumishi, sijawahi kuona malipo mazuri na ya uhakika kama awamu hii.
Wewe utakufa masikini
 
Back
Top Bottom