900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,577
- 5,862
wafanya biashara na wamachinga amewafilisi sana mzee ana gubu hataki kuona mtanzania anatajirika wawe tu level ya kuombaomba meko mwisho wake oct28 kwani amewapoteza ndugu zetu wengi na ni mbinafsi sana kwa masilahi yakeKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine ziendelee.
Hakuna biashara iliyofungwa, lakini watanzania hawana shukrani wanasahau yote kisa mtu ambaye kwa ninavyomtazama mlengo wake si wa kimisimamo binafsi bali ya kuongozwa na anaowaamini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo. Tukipata kiongozi mzuri basi tumuache amalize awamu zote mbili.