Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Tutamuomba agombee kama hatataka.Bado tuna safari ndefu ambayo dereva makini ni mheshimiwa mtukufu dkt JOHN MAGUFULI.

Mwenyewe anasema.amechoka ww unang'ang'ania akuendeshe akikupelekeni BONDENI mkija kuhojiwa na waandishi myaanza kusema dereva alisema amechoka tukamlazimisha.Sijui mnataka muambiwaje,jamaa mwaka mmoja anasema amechoka,JK alisema amechoka alipokuwa mwaka wa 10
 
Akimaliza miaka 10 tumuongezee mingine kumi ili asafishe uchafu wa ajabu ulioachwa na KIKWETE. Sasa kama hauna la kuficha ama wewe si mpiga dili hauna haja ya kubabaika. Lakini kama wewe ulikuwa mpiga dili basi tafuta biashara nyingine ufanye kazi. Hakuna tena pesa za bure.

Nadhani akili yako ni ya kubadilisha pedi tu.
 
Wewe utakuwa ulikuwa mpiga dili...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana unabwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....
Duuu wewe poyoyo sana kwa hiyo unaamini Magu ndio anaakili na busara ya kuongoza kuliko watanzania wote sio,daa elimu,elimu,elimu
 
Anasema serikali ilikua imeoza, kila sehemu ni madudu, ilihali na yy ameshiriki kwa miaka 20 kutengeneza UOZO huo. Anajaribu kutafuta huruma ya wananchi,.

Hana haja ya kutafuta huruma wala sifa kwa wananchi , yeye ndiye anawahurumia wananchi ambao wawamo kwenye huo uwozona dili za wizi na ndiyo wengi. Yeye alikuwa Waziri, angeweza kuendeleza mtindo wa zamani wa dili kwenye SERIKALI yake, wapiga dili kama nynyi mungenyamaza kimya. Pamoja na kuwa KWENYE serikali miaka 20, mambo aliyoyaona yalimutesa kifkira na alivumilia, sasa madaraka yako mikononi mwaka, wapiga dili kama nyinyi lieni tu, lakini Watanzania wengi wapenda haki kwa wote wanamushangilia. Tanzania MPYA inakuja. Just accept it and move on.
 
humu jamiii forum kuna mijitu inaudhi sana hv ukiiona post na ukajibu kistarabu huwezi mpaka ujibu kwa kejeri,matusi dharau au uonekane unajua kuongea acheni hizo nyie watu wazima bhana
 
Duuu wewe poyoyo sana kwa hiyo unaamini Magu ndio anaakili na busara ya kuongoza kuliko watanzania wote sio,daa elimu,elimu,elimu


I think you need to have your head examine. President MAGUFULI is not only clever, he is the man of integrity. Anyone without integrity, even if they are educated are not fit to be leaders. Mtu yeyote mwenye ubinafsi na asiye na uaminifu hafai kuwa kiongozi HATA Kama ana madgrii 100. Ni wewe ndiye unahitaji kisomo.
 
Tunamwombea agombee tena ili mafisadi waendelee kukiona cha moto!

Hasipo gombea mafisadi watakuwa wameshinda vita!
 
Tunamwombea agombee tena ili mafisadi waendelee kukiona cha moto!

Hasipo gombea mafisadi watakuwa wameshinda vita!

Ameahidi kuwatumikia Watanzania. Tumuombe Mungu ampe afya nzuri aendelee kusafisha uchafu ulioko kila kona ya nchi. Wasiopenda haki kwa wote vichwa vinawazunguka. Wapenda haki hawana wasi wasi.
 
Nyerere alisema ikulu si mahala pa kukimbilia....
 
Wewe utakuwa ulikuwa mpiga dili...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana unabwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....
Mbona kama umepanic vile !!mleta mada kasema kulingana na matamshi ya Rais mwwnyewe sasa unaletaje hoja za upinzani ?mie ningekuona mtu makini na mwenye hoja kama ungempinga kwa facts; labda hayo maneno hayakutamkwa na Rais au hoja nyingine ya kwanini ni lazima Rais agombee tena ilihali ameshasema anajuta kuwa Rais.
 
Dhamira yoyote ya mtu makini ni kutimiza malengo aliojiwekea,kwa hali yoyote na vikwazo vyovyote.

Hivyo Magufuli ni lazima atachukua fomu kumalizia ngwe yake ili kutimiza malengo aliojiwekea.

Usibabaishwe na malalamiko yake kamanda,hata wewe kuna wakati unatamani usingezaliwa lakini ukiambiwe ufe utakubali?
Hayo malengo alijiwekea lini, kwa sababu alishasema hakuwahi kuota kuwa rais na hata fomu alichukua kama anayejaribu, ndipo dodo likamdondokea!!!
 
kwa upinzani huu wa kisanii,hata kwa katiba ya chadema,na kamati kuu ya chadema ndio iwe tume,ccm watashinda tu
Utakuwa umevurugwa wewe!!! Hivi kwa akili yako unaamini kwa asilimia zote kuwa ccm ilishinda katika sanduku la kura? Thubutu!!! Kama ilishinda maghumashi anayoleta Magufuli ya kuzuia wenzake wasicheze uwanjani ni ya nini?
 
Back
Top Bottom