juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..
Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.
Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.