Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Akibadili katiba ya JMT kuwe na tume huru ya uchaguzi. Hawezi rudi tena, hiyo ndio silaha pekee ya CCM iliyobaki
Lakini rating ni kuwa he is 72% ahead of all! Anakubalika, au unasemaje?
 
Akibadili katiba ya JMT kuwe na tume huru ya uchaguzi. Hawezi rudi tena, hiyo ndio silaha pekee ya CCM iliyobaki
kwa upinzani huu wa kisanii,hata kwa katiba ya chadema,na kamati kuu ya chadema ndio iwe tume,ccm watashinda tu
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Kwani Lowasa anataka kugombea tena? Naye si aliaga kwenda kuchunga ng'ombe monduli lkn dalili za kubadili kauli zimeanza kaonekana na kaanza kupanga safu yake cdm
 
Akibadili katiba ya JMT kuwe na tume huru ya uchaguzi. Hawezi rudi tena, hiyo ndio silaha pekee ya CCM iliyobaki

Rais Mahufuli atarudi bila bila ya kupingwa. By the time election nyingine ikifika, Mbowe atakuwa bankruptcy, LOWASSA Mali zake zote zitayeyuka kwasababu ni mali za dili, Mali za dili haziendelei bila dili ni kama nyumba iliyojengwa bila foundation, na wadhamini wote waliokuwa wakingojea awe Rais ili awape dili watakata tamaa na wote watamtoroka.
 
Dhamira yoyote ya mtu makini ni kutimiza malengo aliojiwekea,kwa hali yoyote na vikwazo vyovyote.

Hivyo Magufuli ni lazima atachukua fomu kumalizia ngwe yake ili kutimiza malengo aliojiwekea.

Usibabaishwe na malalamiko yake kamanda,hata wewe kuna wakati unatamani usingezaliwa lakini ukiambiwe ufe utakubali?
Unatamani usingezaliwa lakini ukiambiwa ufe utakubali? Kabombe JF
 
kwa upinzani huu wa kisanii,hata kwa katiba ya chadema,na kamati kuu ya chadema ndio iwe tume,ccm watashinda tu
CCM bila kusaidiwa na vyombo vya usalama ni wepesi kuliko Pamba.Kama anajiamini aachie mikutano ya kisiasa ifanyike kwa uhuru.
 
Rais Mahufuli atarudi bila bila ya kupingwa. By the time election nyingine ikifika, Mbowe atakuwa bankruptcy, LOWASSA Mali zake zote zitayeyuka kwasababu ni mali za dili, Mali za dili haziendelei bila dili ni kama nyumba iliyojengwa bila foundation, na wadhamini wote waliokuwa wakingojea awe Rais ili awape dili watakata tamaa na wote watamtoroka.
Ni ndoto za alinacha kuamini Magufuli anaweza shinda uraisi kukiwa na katiba mpya ya Warioba na tume huru ya uchaguzi.Jamaa kama anajiamini aruhusi hivyo vitu.
 
Na wewe unamiini katika hili? Na wahitimu wanavyolalamika walikua wanapiga deal wapi?
Nadhani hata hospitali za umma zilikuwa zinapiga deal au mwenye jukumu la kununua dawa alikuwa mpiga deal pia.
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Anasema serikali ilikua imeoza, kila sehemu ni madudu, ilihali na yy ameshiriki kwa miaka 20 kutengeneza UOZO huo. Anajaribu kutafuta huruma ya wananchi,.
 
Safarihii yeye aendikuchukua fomu, ila sisi watanzania wazalendo tuntaenda kumchukulia fomu na atapiga kampeni siku mbili tu.
Atapiga kampeni siku ya kufungua na kufunga kwakua kazi atakayokua a meifanya kwa miaka mitano itajipigia yenyewe kampeni sisi vijana wa kizalendo tutakua tukihamasisha watu waende kupiga kura tu.tukutane 2020 panapo majaaliwa.
Hivi tunaposema kijana tunamaanisha nani? 2020 utakuwa kijana, ikiwa kwa sasa tu uko under 18? Na usemapo sisi ni ww na nani?
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Kweli wewe nae ni zero kabisa. Empty brain. Ebu jaribu kumuelewa JPM anachomanisha, acha akili finyu
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
juzi mtukufu raisi kakiri kuwa ameshindwa kufukua makaburi kwa kuwa atashindwa kuyafukia. swali langu je? mahakama ya mafisadi ilianzishwa kwa ajili ya nini?

kimanthki mahakama hii ilianzishwa ili kufukua makaburi,

kama raisi atashindwa kufukua makaburi, kwa kuwa alitushawishi tumchague kwa sababu hiyo nashauri ajiuzulu
 
Wewe tafsiri utakavyo weza ila nashukuru umenielewa.
 
Wewe utakuwa ulikuwa mpiga dili...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana unabwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....

Jadili alichokileta mdau,je amesema hajasema???je ndo juzi tu anasema?maana hii si chini ya mara nne anasema,sasa hapo kunahusiana na upiga dili mdau?
Mwajiriwa anapolalamika kila siku kaz ngumu,kinachofuafa ni kwa mwajiri kumpumzisha au mwajiriwa mwenyewe kuacha kazi
 
Dhamira yoyote ya mtu makini ni kutimiza malengo aliojiwekea,kwa hali yoyote na vikwazo vyovyote.

Hivyo Magufuli ni lazima atachukua fomu kumalizia ngwe yake ili kutimiza malengo aliojiwekea.

Usibabaishwe na malalamiko yake kamanda,hata wewe kuna wakati unatamani usingezaliwa lakini ukiambiwe ufe utakubali?
Swal zur, atujb
 
Back
Top Bottom