Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithiri ya msanii wa rap anapofanya freestyle..kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta.nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai),nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.

Hivi kuijudhuru ndiyo nini????!!! Au unamananisha kujiuzulu????
 
Wewe utakuwa ulikuwa ni KIBAKA...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana una bwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO FUPI UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....
Mkuu acha kuhemka kishamba,soma uzi tena,kuna sehemu nimesema raisi atoke wapi? Akili fupi hiyo
 
Wewe utakuwa ulikuwa ni KIBAKA...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana una bwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO FUPI UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....
Sasa kipindi hiki ndo vibaka wanaiba na kukaba sana kuliko kipindi chochote cha urais
 
Safarihii yeye aendikuchukua fomu, ila sisi watanzania wazalendo tuntaenda kumchukulia fomu na atapiga kampeni siku mbili tu.
Atapiga kampeni siku ya kufungua na kufunga kwakua kazi atakayokua a meifanya kwa miaka mitano itajipigia yenyewe kampeni sisi vijana wa kizalendo tutakua tukihamasisha watu waende kupiga kura tu.tukutane 2020 panapo majaaliwa.

Duuuuh!!!!
Siku mbili tuuuuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Labda muwahonge mpaka viatu vya kuvaa na muwape na majembe ya kulimia shambani na ng'ombe wa kufuga.
Mana ukata uliopo huko vijijini hata hela ya kununulia jembe la mkono ili wakalime hawana.
Hela za kusomesha watoto chuo kikuu hawana na walitegemea mkichukua kodi zao mtazirudisha kwa kuwapa watoto wao mikopo ya kusoma chuo ili nao baadae wajiajiri.
Walijua kazi ya serikali ni kuweka mfumo bora wa kukusanya madeni ya mikopo ya chuo kumbe ni kuwaambia wanyonge wauze mashamba yao ili walipe ada za chuo kwa pesa taslimu. Huku ni kuwazidishia watu umaskini.

Wafanyakazi nao walijua kuwa fao lao la kujitoa lipo na pia wanaweza kuendelea kupata mikopo kutoka kwenye mabenki ya kujenga nyumba ili kupunguza rushwa na wizi unaotokana na ukweli kuwa kila mtu anatamani amiliki nyumba yake kihalali.
Hakuna mazingira hayo ya kumwezesha mfanyakazi akope gari au ajenge nyumba. Hali hii sio nzuri mana watu hawaoni uzuri wa mfumo wa kuwafanya watu wawe waaminifu kwenye sekta ya umma yenye mishahara midogo.

Bila kuwapa watanzania fursa ya kujiajiri na kuajiriwa kwa kuruhusu mazingira bora ya kufanya biashara kwa kweli kampeni za zitakua zile zile za kuwagawa watanzania lakini sio kampeni za kistarabu za kuwaunganisha watanzania kwa hoja.

Mimi binafsi namkubali sana Mh. Rais kwenye masuala ya utawala .
Uongozi kwa wananchi wote hauhitaji nguvu kwani kuna watu hawana nafasi yoyote ya kunufaika na uwepo wa masula ya kiutawala ,wao wanachotaka ni kuongozwa tu kwa busara na kujadiliana mbinu bora za wao kufanya shughuli zao kwa jasho lao na akili zao tu. Suala la Uchumi ni muhimu liwe pia bora na lenye tija kwa wananchi ili tuwe na wanadam wanaofurahia utajiri waliopewa na Mungu kwenye nchi yao na sio kuwa watumwa wanaotaabika kwenye taifa lao.
Kazi ya serikali sio kuwazuia watu wasitajirike bali kuwasaidia wale walioko nje ya mfumo wa serikali wajiendeshe kwa ufanisi bila kuvunja sheria.

Leo hii tunarudi enzi za watawala kuwa ndio matajiri kwa kutumia kodi za umma.
Aliyeko nje ya mfumo wa kiutawala atawekewa mizengwe na kufilisika.
Walioko kwenye siasa wao wana vipato vya uhakika haoni shida hata kama watu watashindwa kufungua hata kibanda cha kuuza nyanya kutokana na kodi kuwa kubwa kuliko mtaji wake.
Wanasiasa wao wanafurahi kuona serikali inawarubuni watu kwa kufikia mahali pa kuwapelekea chakula cha msaada wakati mara nyingine njaa imesababishwa na wao kushindwa kukipa kipao mbele kilimo cha umwagiliaji.
 
Jana kwenye mkutano na wahariri pia alisema vizuri mimi nasoma magazeti yote hata masudi kipanya anavyomchora mpaka anaenda kujiangalia kwenye kioo
-- "utashangaa magazeti yanavyoandika taarifa utadhani uchaguzi umefika kumbe kuna miaka minne ya kujidai"--
 
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Huyo form four failure anavyokiongoza chama unafikiri anaweza kuongoza nchi? ?
Kiwango cha elimu huwa siyo kipimo cha uwezo wa kuongoza. Zingatia machifu wa makabila zamani walivyoweza kuongoza maelfu ya watu bila kuvaa joho la graduation ya chuo chochote.
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Too low.
 
Hivi una akili timamu wewe?? Nani mwenye uwezo wa kuongoza Nchi hii kama hatatoka CCM. UKAWA wachanga sana Kisiasa hatutaki kufanya majaribio ya hatari kama hayo!!
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Una ugonjwa uitwao PREDUDICE !
 
Jamaa kila siku ni kulalamika tuu, au ndo anatafuta huruma ya wachache waonaompenda
 
Hawezi kubali!...madaraka matamu.chezea kukaa ikulu,ww si unamuona alivotakata saiv
 
Ngwe yake ni miaka mitano na sio kumi. Je baada ya ngwe yake (miaka mitano) kuisha atagombea tena?

Akimaliza miaka 10 tumuongezee mingine kumi ili asafishe uchafu wa ajabu ulioachwa na KIKWETE. Sasa kama hauna la kuficha ama wewe si mpiga dili hauna haja ya kubabaika. Lakini kama wewe ulikuwa mpiga dili basi tafuta biashara nyingine ufanye kazi. Hakuna tena pesa za bure.
 
Dhamira yoyote ya mtu makini ni kutimiza malengo aliojiwekea,kwa hali yoyote na vikwazo vyovyote.

Hivyo Magufuli ni lazima atachukua fomu kumalizia ngwe yake ili kutimiza malengo aliojiwekea.

Usibabaishwe na malalamiko yake kamanda,hata wewe kuna wakati unatamani usingezaliwa lakini ukiambiwe ufe utakubali?
Akibadili katiba ya JMT kuwe na tume huru ya uchaguzi. Hawezi rudi tena, hiyo ndio silaha pekee ya CCM iliyobaki
 
Nasema nitashangaaa sana na nitaamini wanasiasa ni waongo na wanajua kucheza na maneno sana mithili ya msanii wa rap anapofanya freestyle..

Kwa mara nyingine tena jana nimemsikia raisi wangu Magufuri akisema kazi ya uraisi ni ngumu na hadi anaijutia hiyo nafasi,anafika mbali na kuwashangaa wanaoililia hiyo nafasi.sasa ni imani yangu kwamba mheshimiwa raisi anatamani kujiudhuru ila tu anaamua kumalizia ngwe yake ya miaka mitano ili kuepusha nchi isipate hasara.

Kwa sababu kama anaijutia nafasi ya uraisi ni wazi kabisa kwamba miaka mitano hii ikiisha hatogombea ili kutoendelea kujuta, nitashangaa sana kama 2020 (tukiwa hai), nikimuona anahangaika kwenye majukwaa ya kisiasa kutoa ahadi wakati nafasi hiyo inampa majuto na mateso makubwa.
Juvenile kumbe hujui kuona mambo! Unadhani kuna mtu ataachia madaraka- Kagame, Museveni, Mugabe, Nkurunzinza etc
 
Back
Top Bottom