Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

MI pia ntashangaa,nadhani tuweke kumbukumbuku za hayo matamko vizuri afu tutayarecall nyakati za kutangaza nia uchaguzi ujao...wanasemaga madaraka matamu lakini
 
Wewe utakuwa ulikuwa mpiga dili...sasa kipindi hiki MASLAI yako ya kupiga dili za kijinga yamekatwa ndio maana unabwabwaja hapa...SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAONA NANI NI MBADALA WA MAGUFULI kutoka UPINZANI??????????hakuna mbadala WA MAGUFULI KWA SASA TOKA NJE YA CCM....
Sasa yeye mwenyewe analalamika Viatu havimtoshi wewe unamtete kama nani,au unafikiri ni habari za vijiweni mleta mada kaokotaokota!!Mbona so far ameshapwaya VILIO na SIMANZI kila sehemu
 
Kama ninavyoshangaa lowassa kutoka tena kuutaka urais aise nitajuwa kweli majanga
 
Wala asijumbue hatutampa mtu kama huyo. ana ndimi mbili, mara anajidai kupambana a rushwa huku akimwambia mbowe eti kwa niniasiende naye akapewamgao. hii dunia i awatu hopeless kwakweli. kwa vile sikumpa kura yangu 2015, sitaweza kumpa 2015 kwa sababu hana jipya. mtu mwenyewe hata hatambui umuhimu wa katiba mpya, halafu anajitapa kuwa nchi ya viwanda akifikiri nchi itaenda hivyo bila katiba.. mfyuuuuuu
 
Kweli wewe nae ni zero kabisa. Empty brain. Ebu jaribu kumuelewa JPM anachomanisha, acha akili finyu
tufanye mi sikumuelewa,na tufanye mi ni empty brain kweli,ok nahitaji ufafanuzi wako we ukiyemuelewa,nieleze alimaanisha nini labda,
Kweli wewe nae ni zero kabisa. Empty brain. Ebu jaribu kumuelewa JPM anachomanisha, acha akili finyu
 
Anamaanisha Ni Ngumu, Ili Aaachiwe Agombee Mwenyewe
 
Back
Top Bottom