Nitarudi tena KCMC Hospital

Nitarudi tena KCMC Hospital

Ama kweli hiki ni kizaz cha nyoka...unaendekeza tamaa ya mwili kuliko mgonjwa wako!!..unahitaj maombi
 
kweli nimeamini viraza wengi sana kwenye taifa letu hili masikini.. kama taifa linaendelea kuwa na watu matope kama huyu kenge hata tukipewa kila kitu tutazidi kuwa maskini tu ....maana vichaaa ni wengi mno..moderator mnafanya kazi gani kama mnaruhusu maada kama hizi za kijinga watu ku-discuss au kazi yenu kupiga watu ban
 
Samaritan, ebu tueleze, ni kweli kuhusu hao manesi? najua KCMC inamilikiwa na taasisi inayoitwa GOOD SAMARITAN

Ndugu yangu MpigfilimbiwaHamelin, mtu hunena yaujazayo moyo wake. Huyu jamaa kwa kweli amahitaji msaada, hivi katika hali ya kawaida ,tu unamgonjwa unaanzanje kuwaza haya mambo hadi unaahidi kurudi KCMC sio kumuona mgonjwa bali kuonana na wauguzi? Ina maana kwa lugha rahisi hatafurahia mgonjwa wake akipona haraka na kurusiwa kutoka hospitalini.
 
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital.

Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu.

Nitarudi tena KCMC Hospital.

Mkuu kwa hiyo macho nayo yalikua yanacheza mdundiko sio?
 
Ndugu yangu MpigfilimbiwaHamelin, mtu hunena yaujazayo moyo wake. Huyu jamaa kwa kweli amahitaji msaada, hivi katika hali ya kawaida ,tu unamgonjwa unaanzanje kuwaza haya mambo hadi unaahidi kurudi KCMC sio kumuona mgonjwa bali kuonana na wauguzi? Ina maana kwa lugha rahisi hatafurahia mgonjwa wake akipona haraka na kurusiwa kutoka hospitalini.

Au labda ni ule msemo kuwa matembezi ya Simba ni pamoja na kuwinda?
 
kwi kwi kwi kwi kwi ,kwi sasa mkuu ungezunguka kule nyuma kuna BAR inaitwa BIKERS ni shiiiida kuna wanafunzi wa udaktari na hostel zao kuna pisi za kufa mtu
 
haukuwaona wagonjwa wenye magonjwa sugu waliokaa xan pale bila nafuu hukumsih mungu kwamb awalehem na awaponye nao waone raha kama unayoiona ww kijana mwenza 2bdilike ,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom