Nitarudi tena KCMC Hospital

Nitarudi tena KCMC Hospital

Mgodo Mgodoki

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
1,399
Reaction score
1,368
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital.

Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu.

Nitarudi tena KCMC Hospital.
 
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital. Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu. Nitarudi tena KCMC Hospital.

Kwa hiyo mkubwa hautaki kabisa kusikia mgonjwa wako amepona na kuruhusiwa kutokahospitali!
 
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital. Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu. Nitarudi tena KCMC Hospital.

duuh...asee
 
Mgonjwa Wako anaendeleaje?

Yaani wewe acha tuu,kuna Nesi mmoja alukuwa anatoka nje nikamfuatilia nyuma nyuma macho yote yakawa kwenye mrindimo akapanda Gari na mimi huyo mpaka Town nikashindwa kabisa kumuaga mgonjwa wangu. But kwa sasa amesharuhusiwa yupo home,lakini nitarudi tuu hata kama sina mgonjwa pale.
 
Duh yaani hii kali, pia inataka Roho ngumu sana♡
 
Ila angalia usipotee kimiujiza maana kule kuna maeneo ukiingia unapotea mazima..
 
Nadhani na wewe una ugonjwa unaohitaji ulazwe kwa matibabu zaidi.
Yaani badala ya kumjulia mgonjwa hali unabaki kukodolea macho makalio ya manesi???? :angry::Cry:
Huu kama sii ugonjwa ni nini?????
 
Wasalaam,juzi kati nilikuwa Moshi kwa bahati mbaya nikawa na Mgonjwa ambae ni ndugu yangu alilazwa KCMC Hospital. Sasa nikamtembelea hapo Hospital,lahaula,nilichokutana nacho pale sikutamani kuondoka,fahari ya macho jamani Manesi wameumbika jamani huko nyuma utadhani wameweka masponji,yaani kitu murua wakitembea utadhani wanafanya kusudi yaani mpaka nikapoteza umakini na mgonjwa wangu. Nitarudi tena KCMC Hospital.
Omba urudi wewe ukiwa ndiyo mgonjwa ili ulazwe kabisa maana nadhani ndiyo utaweza kuwafaidi kwa muda mrefu
 
Aombeae mvua humnyeshea....wewe unaomba kuumwa sio? Na ukiumwa hata ayoo makalio hutayaona utaona kaa vivuli vinatembea tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom