Nitapunguzaje uzito?

JituParaTupu

Member
Nov 20, 2008
92
9
Wakuu,

Naomba nisaidiwe. Mimi kimaumbile ni mnene na mzito. Siwezi kufanya mazoezi kwa sababu bado naugulia maumivu yaliyotokana na kuvunjika mguu. Siwezi kabisa kukimbia. Nitumie njia gani ili niweze kupungua uzito na unene huu?
Kama kuna anayefahamu siri ya kupungua kwa uzito kwa mwanamitindo Mustafa Hassanali tafadhali aniambie.

Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaokuwa serious kunisaidia.
 
Kiukweli Hassanali alienda kufanyiwa upasuaji India as far as I know
 
Mimi sijui dawa bwana
ila pole
unene nao kero kumbe sometimes? Sie vimbaumbau kumbe tunaenjoy
 
Mimi sijui dawa bwana
ila pole
unene nao kero kumbe sometimes? Sie vimbaumbau kumbe tunaenjoy
watu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bonge
 
watu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bonge
Ngoja nikuPM naona sasa unakiuka maadili ya familia yetu
Ila ukweli ni kuwa wala usiutamani unene hata kidogo, unaboa na kukera lakini mwili kama wa kwangu aaahaaa raha tupu. Au unataka uwe kama shemeji yako?

Ila ingekuwa jamaa haumwi mguu angefanya mazoezi asubuhi na jioni angepungua sana tu
 
Jamani Mustapha Hassanali tupe siri ya kupunguza unene kwa asiye fanya mazoezi
 
Kama ni mgonjwa wa miguu huwezi fanya mazoezi, kunywa vidonge vya kupunguza uzito.
 
Ee bwana pole sana. Mi c mtaalam but punguza kula. Jibane sana ktk kula, kula matunda tu kwa sana ondoa au punguza nafaka ktk misosi yako.
By th way dada pretty c umuambie vidonge gani atumie! Au?! Happy xmas 2 u 2!
 
punguza kula, kama huwezi kufanya mazoezi kaa sehem za joto utoke jasho (usisahau kuoga baada ya jasho), kunywa maji mengi asubuhi baada kupiga mswaki, kula tembe moja ya kitunguu saumu kila siku (tembe moja tu sio kitunguu kizima), kama una cheo serikalini jiuzulu, acha tabia ya kulala lala sana na kucheka cheka bila sababu.
pia kuna njia nyengine ya mkato lakini hii sikushauri, ukiowa mwanamke kicheche, ndani ya wiki mbili utakuwa mwembamba kama simu ya motorola L6 (saidi ifekti ni marazi ya moyo lakini rezalti garantii)
 
Ha ha ha ha ha! U made my day man.
 
Wakuu,

Naomba nisaidiwe. Mimi kimaumbile ni mnene na mzito. Siwezi kufanya mazoezi kwa sababu bado naugulia maumivu yaliyotokana na kuvunjika mguu. Siwezi kabisa kukimbia. Nitumie njia gani ili niweze kupungua uzito na unene huu?
Kama kuna anayefahamu siri ya kupungua kwa uzito kwa mwanamitindo Mustafa Hassanali tafadhali aniambie.

Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaokuwa serious kunisaidia.

1. Kama unaweza kutembea tembea kwa nusu saa kila siku.
2. Nenda sauna kwa dakika ishirini mara 3/4 kwa wiki.
3. Rekebisha mlo wako kama wengine walivyoshauri.
 
anza kubadilia aina ya vyakula unavyokula ..ile balance diet ukiifata kwa umakini itakusaidia..pale utakapopona mguu ndo utaendelea na mazoezi
 
watu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bonge

Funga na kuomba siku 40.Ule jioni tu.Utaona matokeo yake.
mnhhhhhhh, mpwa hapa sasa utamuingiza c.h.o.o cha kike huyu mkuu!!
hapa kwanza lazima apate vidonda vya tumbo.
njia rahisi ni kupunguza kula, piga jaramba asubuhi na jioni, acha kunywa biere(hapa najua wapwa watapinga sanaaaa!!) instead kunywa maji mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom