Nitapunguzaje uzito?

Kama una ka uwezo na huna vidonda vya tumbo tumia dozi hii hapa. kila asubuhi pata juice ya carrot + green pepper + tango + spinach = 1glass. Then juice ya malimao katika mtiririko ufuatao. Siku ya kwanza 8, siku ya pili 16, siku ya tatu 24, siku ya nne 32, siku ya tano 40, siku ya sita 40, siku ya saba 32, siku ya nane 24, siku ya tisa 16 na siku ya kumi 8. baada ya siku kumi utupe matokeo. Mimi nimetumia siku ya kwanza nilikuwa na kilo100 siku ya kumi nikawa na kilo70. be blessed.
Hebu tueleze vizuri.Hiyo juice unakunywa kwa mkupuo mmoja au kidogokidogo kuanzia asubuhi mpaka jioni?
Na kama nataka kupungua kiasi tu sio kama wewe hizo kilo 30 ,nawza kutumia robo dozi( i mean siku 3)?????.
Na nikiwa natumia hiyo dozi vyakula vingine nakula kama kawaida?
 
I can read between the lines here...........!
 
newsrids.asp
Msaidieni Jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom