Nitapataje kazi botswana? Wadau naombeni mchango wenu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitapataje kazi botswana? Wadau naombeni mchango wenu.....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tslm, Jan 28, 2012.

 1. T

  Tslm Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya yote mimi ni mdau mpya kwenye JF,NAWAPENI HI WADAU WOTE WA JF

  Mimi ni dentist,naombeni wadau wote mnipe mchongo inakuaje coz kuna wadau ambao wanauelewa mkubwa kuhusiana na masuala hayo.Mimi nipo peripheral,mambo mengi ni ngumu kuyafaham
   
 2. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jaribu kuingia kwenye website mbalimbali za botswana,hasa zinazohusu ajira kwa wageni unaweza pata mwanga kidogo..
   
 3. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Juzi tu Mzee mmoja wa kibongo ka-staafu alikuwa mwajiriwa huko Botswana nikamwuliza khali ya ajira huko vipi? Kasema mambo mazuri yapo hapahapa Bongo,Botswana si ile ya zamani wamesomesha wana wataalamu wa kutosha ajira si bwerere kama enzi hizo! Nikamwuliza mzee mbona huko maisha mazuri na mishahara nasikia iko juu? Akajibu Mishahara mikubwa pia matumizi ni makubwa hakuna ndizi ya sh 200 kama Bongo ndizi moja sawa na buku ya kibongo,vitu vingi wanaagiza toka nje.Labda uwe single utaweza mudu maisha lakini kama unategemewa na familia au ukoo,utakuja rudi Bongo huna hata kiwanja.
  Ahsante.
   
 4. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Halaf wewe si ndo umegoma?unaacha kusaidia nchi yako na ndugu zako unataka kwenda kusaidia makirikiri??naskia rate ya ukimwi iko juu sana ndo inaadhiri labour force yao.
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Muulize Jamaa mmoja anaitwa Makupa, anafanya kazi huko Botswana japo hatuelewi anafanya nini? mtafute humu ndani yupo ukitaka kumpata kirahisi angalia thread zinazohusu CHADEMA
   
 6. T

  Teko JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Siku hizi Botswana sio kama zamani.kupata tu kibali cha kuishi hapa kwa sasa ni kazi sana.Uthibiti wa wageni ni mkubwa sana hadi kero.Kama huna kazi inayokuingia kipato kizuri utaona kero tu kuishi hapa.kwanza wenyeji wenyewe hawana ushirikiano mzuri sana na wageni kama huko Tanzania.Ukipata sehemu yenye maslahi mazuri huko Tz ni bora ukabaki huko.Na endapo utapenda kuja kujionea mwenyewe uamuzi ni wako.
   
Loading...