nitapataje habari za tarehe za nyuma?

blackdog

Member
Jan 9, 2011
89
8
wakuu, nisaidieni nimepata taarifa ya Hesabu za Bunge kwa mtu amenipigia simu.naomba mnisaidie nahitaji kutafuta GAZETI LA NIPASHE LA TAREHE 28/5/2011 kwa njia ya mtandao sijafanikiwa kupata kwani ni la tarehe ya nyuma sio leo.
 
Back
Top Bottom