wachimbaji wadogo wa dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mchimbaji Bunda: Maandamano ya Tarehe 7 yanatakiwa yawe yetu sisi. Kama kweli tunajipenda hayo maandamano yaanzie Mkuyuni

    Wakuu, Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi Soma Pia: Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba Huyu Mchimbaji hapa anasema inakuwaje...
  2. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi wachimbaji wadogo wa dhahabu tufanye kazi?

    Habari za jioni. Natafuta wachimbaji wawili wadogo wa dhahabu ambao wameshawahi kuuza mzigo mara 2 au zaidi. Kuna biashara nzuri ya kufanya. Mwenye connection aniunganishe naye tafadhali !!
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Nchi za Afrika zajadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki(e-waste) ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana

    Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana...
Back
Top Bottom