wachimbaji wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Licha ya uwepo wa Sheria, Kanuni na Mifumo ya Usimamizi lakini simulizi za wachimbaji wadogo mgodini zinaonyesha taswira tofauti

    Licha ya kuwepo kwa sheria, kanuni na mifumo ya usimamizi wa sekta ya madini nchini, simulizi kutoka migodi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga zinaonyesha taswira tofauti usalama bado ni kitendawili kisichopata majibu. Katikati ya hali hiyo, sauti ya mtaalamu wa jiolojia, James Kibiti Muiko...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Sauti za vilio, hofu na taharuki ni simulizi za kawaida kwa wachimbaji wadogo maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo - Shinyanga

    Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara. Katika kipindi cha miaka...
  3. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  5. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameleta Mapinduzi makubwa katika Sekta ya Madini,Wachimbaji wadogo ndio wanufaika wa Mapinduzi hayo

    Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mwanzo katika awamu zingine wachimbaji wadogo hawakuwa wananufaika sana na sekta hii kutokana na bei ya madini na sheria kuwabana Imagine gram 1 ilinunuliwa kwa Tsh laki1 lakini sasa hivi gramu hiyohiyo ya dhahabu inanunuliwa kwa laki mbili...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo secta iliyodharauliwa na kuachwa nyuma hivyo kuburuzwa na maafisa wa madini mara Kwa mara

    Kumekuwa na kudharauliwa sana kutokufwatwa Kwa kanuni na sheria ndogo ndogo za uchimbaji kwenye mikoa yenye uchimbaji wa madini haswa dhahabu Kwa kiwango kidogo. Mfano hai kumekuwa na Malalamiko sana Kwa RMO wa mkoa wa Lindi kuchukua maamuzi yake Kwa kusikiliza upande moja anaonufaika nao...
  8. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi wachimbaji wadogo wa dhahabu tufanye kazi?

    Habari za jioni. Natafuta wachimbaji wawili wadogo wa dhahabu ambao wameshawahi kuuza mzigo mara 2 au zaidi. Kuna biashara nzuri ya kufanya. Mwenye connection aniunganishe naye tafadhali !!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu majaliwa azindua mitambo 10 ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

    Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo yenye thamani ya shilingi bilioni 12.41 iliyonunuliwa na...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini waiangukia serikali walia na upatikanaji wa umeme migodini

    Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na kuongeza makusanyo ya maduhuri kwa serikali. Ombi hilo limewasilishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leseni 1356 za madini zatolewa Kahama, Wachimbaji wahamasika kuachana na Zebaki

    JUMLA ya leseni 1356 zimetolewa katika halmashauri tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama ambazo ni Ushetu, Msalala na Kahama huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza Afisa Madini Mkazi wa Kahama Leons Welengeile amesema, leseni za utafutaji...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Simiyu amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano

    Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu. == Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini

    Ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini (Shaba) Nala Mkoani Dodoma ni mkombozi wa wachimbaji wadogo na unakwenda kutibu changamoto katika eneo la kimadini Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameyabainisha hayo leo jijini Dodoma wakati wa ziara ya kukagua Kiwanda hicho cha Uchenjuaji madini aina ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wizara ya Madini ipige marufuku wachimbaji wadogo kutumia zebaki ili kutunza mazingira na kuuimarisha Afya za wananchi

    Hellow Tanganyika! Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu. Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze centers za kuchakata udongo na mawe yenye dhahabu mchimbaji mdogo alipie gharama. Huu uholela wa...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo

    Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Wachimbaji 17 wamepata huduma ya uchorongaji kwa kuchimbiwa...
  18. popah21

    JamiiForums Tanzania Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wachimbaji Madini Busolwa - Geita hatutashiriki Uchaguzi kama Serikali haitafungua eneo letu la uchimbaji

    Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa endapo Serikali haitasikiliza malalamiko ya kufunguliwa kwa eneo lao la uchimbaji baada ya...
Back
Top Bottom