Nitapata wapi viagra ini boost?

Nitapata wapi viagra ini boost?

Viagra+cartoon+2.gif
 
Piga Redbull 3, Konyagi, Kashata, Supu ya Pweza, Karanga Mbichi, Bangi kabla ya game
 
Dawa ipo inauzwa laki tatu kwa dozi.0754 856277
 
kwakweli wewe kama mimi siku nikiipata nita ku PM heaven on earth wangu to practise nayo

Umpe mkeo taarifa Kabisa....

itakua siri yetu twawili mimi na wewe basi

Ukinogewa je maana kama ilikua 5 per night
kitu kinaenda kwenye 8 LOL!!!!!!

nikinogewa tutaoana tu ndo dawa yake
Heaven on Earth nakusubiri nyumbani, mambo mengine hatupaswi kuyaongelea hadharani.
 
My King mie unadhani nataka mambo ya 5 per night

Nisikuchoshe Tusichoshane,Viwili tu unavyonipaga nimeridhika mie.......
aah wapi usione duniani kuna raha kuna raha zaidi peponi sema hujawahi kufika
 
Piga Redbull 3, Konyagi, Kashata, Supu ya Pweza, Karanga Mbichi, Bangi kabla ya game
nahisi nitachanganikiwa kabla ya game na kuvamia bata au mbuzi bureee.ina mama wewe unatumia njia hii?
 
Viagra hii makitu ikoje naisikiaga tu kwa watu
Attention please: Do not take Viagra if you are also using a nitrate drug for chest pain or heart problems. This includes nitroglycerin, isosorbide dinitrate, and isosorbide mononitrate. Nitrates are also found in some recreational drugs such as amyl nitrate or nitrite ("poppers"). Taking Viagra with a nitrate medicine can cause a sudden and serious decrease in blood pressure. @ Bujibuji
 
aione mwekundu hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom