Nitapata wapi viagra ini boost?

Nitapata wapi viagra ini boost?

Jaribu uwanja wa ugenini kujihakiki kama msonobari wako umeshuka daraja kabla hujaanza kutumia viagra,huenda tatizo si wewe.
Eeh.. Mkuu huogopi ngoma?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
-Safi kabisa, nina wasi wasi huyu jamaa anajikojolea kojolea hovyo tu! Anaishia kumchafua mkewe tu! Hana utaratibu mzuri kama huu wako, na mimi!

Mnajifanya vidume...mwisho mnaishia kugongewa tu,kama umefikia hatua ya kujisifia basi wewe galasa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka usije ukajaribu ukala viagra mwanamke ni1tu anahamutena just niPm nikuelekeze

Ha ha ha kweli?mkuu atazidiwa au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kunya maziwa yaliyo chemshwa halafu pumzika kama dk 30 hv kisha anza mzigo
 
Mim ninazo. Ni buku 4 tu. Unapata kidonge kimoja.
 
Anzisha thread yako bro-usitake kupata promo kwenye uzi wa mwenzako,unajifanya hodari kwa mapenzi mbona wanakugongea mtaani kwenu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
We dufya nini? Au wewe ndo wale wale wanaopiga moja na kugeukia upande wa pili?

Utamu wa uzi, upate wachangiaji, ndo kuelimishana. Na wa kwangu hagongwi mtaani coz anafikishwa.
 
We dufya nini? Au wewe ndo wale wale wanaopiga moja na kugeukia upande wa pili?

Utamu wa uzi, upate wachangiaji, ndo kuelimishana. Na wa kwangu hagongwi mtaani coz anafikishwa.
Unapunguza machungu ya kukuzalia mtoto asiye wa kwako-wewe unakaa kujisifia kwenye thread ya mwanamme mwenzako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unapunguza machungu ya kukuzalia mtoto asiye wa kwako-wewe unakaa kujisifia kwenye thread ya mwanamme mwenzako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tatizo umeanzisha thread ya kinafki. Nimekueleza ukweli una mind ka dem aliyeachwa.

Na nina uhakika hujawahi kumfikisha dem wako, lait ningemjua................... angehamia airtel mara moja.
 
viagra inahuua kabisa flow ya damu ya asili na hivyo kufanya inabidi uweunatumia yenyewe tu
 
Tatizo umeanzisha thread ya kinafki. Nimekueleza ukweli una mind ka dem aliyeachwa.

Na nina uhakika hujawahi kumfikisha dem wako, lait ningemjua................... angehamia airtel mara moja.
najua upo kwa ajili ya kuwasababishia watu ban mimi hunipati
 
Natural viagra inaandaliwa kama ifuatavyo,tafuta tikit maj kamua juisi halafu uichemshe hyo juisi,ikichemka changanya na limao,baada ya hapo hakikisha inapoa vizuri,ikishapoa kunywa baada ya hapo uje utoe ripot tafadhari!

Lunges johnny walker black label ni viagra tosha na supu ya pilipili ndongaa itakaa wima usiku kucha usisahau jelly ili usimchubue mpenzi wako
 
Naskia kashata za machicha zinasaidia pia.
 
Nakushauri nenda feri ukanunue PWEZA MBICHI halafu mchemshe upate supu na halfu ule na nyama yake ndio VIAGRA ASIli achana majiviagra yatakukanumba !
 
Chezea wife kila kona mpaka uone kalegea ,nyonya matiti,shingo,kitovu,nyayo,kinena,nk kwanza kabla ya KUPIMA OIL moja tu litamtosha sio lazima 5
 
Back
Top Bottom