Nitapata wapi viagra ini boost?

Nitapata wapi viagra ini boost?

Mtafute MziziMkavu maana aliwahi kuapa haya huko siku za "nyuma"!

Mkuu @MBOOYA Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa njia ya P.M. inauzwa Dola 300. Dawa ni ya mitishamba lakini imetengenezwa kwa njia ya kisasa Capsule unatumia kila siku kidonge kimoja Asubuhi na kidonge kimoja usiku

baada ya kula chakula kwa muda wa miezi 3 Vidonge vipo 180baada ya hapo hutotumia tena Nguvu tena moja kwaa moja waweza kwenda mara tano kwa siku bila ya matatizo Mwenye kutaka awasiliane na mimi email yangu ni hapa

(fewgoodman@hotmail.com) au wasiliana na mimi kwa njia ya Private Message Jamani hii ni Mkuyati kiboko yao au jina lingine naweza kusema kuwa ni chuma cha Pua. Maelezo yake soma hapo chini. Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!
 
hii inakuaje mkuu hembu nitolee basi ufafanuzi baba mwenye nyumba,naumbuka mwenzio
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda
 
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)

Mwambie mkeo aache kutumia viagra za kike(hehehehe. Najua hazipo) magoli matatu bado anakuletea ugomvi? Itakuwa alizoea migegedo mingi kabla hujamuoa.
 
haya Mkuu kila la heri katika utafutaji wa VIAGRA
 
Anajimudu mkeo......3 analalamika.Unachokitafuta hakitakufanya upige 5 bali zitakuwa zinakuchelewesha hata kupata la 1.
 
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda

Utaua mtu wewe, íle si itakuwa zaidi ya tindikali!??
 
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake

ViagraDoctor.jpg
 
Back
Top Bottom