Nitapata wapi viagra ini boost?

Nitapata wapi viagra ini boost?

Kama unaweza kufikisha raundi 3 basi wewe huhitaji viagra kwa sababu hata hizo raundi 3 ni nyingi kwa mapenzi ya kisasa. Achana na mapenzi hayo ya kizamani ambapo mwanaume kuonekana ngunguri alihesabu raundi kuanzia 5 na kuendelea. Mapenzi ya kisasa hata raundi moja inatosha cha msingi ni uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni mara kadhaa ndo kigezo cha umahiri wa mwanaume. Mimi mwenyewe ni mfano kwani katika raundi moja tu huwa namudu mechi kwa dakika 45 hadi saa moja na mwanamke kumfikisha kileleni zaidi ya mara 8. Ipi mechi nzuri, ile ya kukuruka raundi 5 bila kumfikisha kileleni mwanamke ama kukuruka raundi moja tu na mwanamke akafika kileleni mara kumi baada ya hapo anakupa 'ASANTE SANA' HALAFU analala kama mzoga kwa maana kuwa hana hamu tena.........naomba jibu
 
ha ha ha 25yrs,mkuu usishangae mazoea hujenga tabia si unajua mbwa ukiwa unamlea nyama kila siku,siku ukileta dagaa hali?


kwa umri huo wa miaka 25 ukianza kutafuta kuboost kwa vitu vitu , basi ukifikisha 35 utakuwa hamna kitu hata ukitumia hizo booster na kipindi hicho ninakimbilia miaka 50 halafu unanikuta kidingi nampinda mkeo nakuhakikishia utalia machozi ya damu mkuu............
 
Umecheza mpira wa madaso wewe?

Sijui 'madaso' ni nini, ila nimeshachezea mpira uliotengenezwa kwa utomvu wa mti wa mpira. By the way, wakati nilioutaja kuwa nilikuwa mtoto ni miaka ya mwanzo ya 1960.
 
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda


mkuu ile ikidondokea kwenye ngozi au jicho huuma na kuwasha hatari sembuse kwenye dushelele............

unataka kukill mtu kwa fedheha mkuu....
 
Mwambie mkeo aache kutumia viagra za kike(hehehehe. Najua hazipo) magoli matatu bado anakuletea ugomvi? Itakuwa alizoea migegedo mingi kabla hujamuoa.


hapo red , zipo za kichina mkuu........na kuna ya kienyeji inaitwa kungu.
 
Ungekuwa unapiga hata hzo 3 usingehitaji viagra!! Wengine mbili tu anachoka hoi sasa wewe hzo 5 ni za kuku?
 
Dawa za jamii ya Viagra siku hizi zinapatikana mpaka kwenye viduka vya dawa vichochoroni. Bei ni shilingi 2,000 kwa kidonge cha 50mg na shilingi 3,000 kwa 100mg. Na kwa jinsi mambo yanavyoenda Bongo, huna haja ya kuwa na prescription.
 
Kama unaweza kufikisha raundi 3 basi wewe huhitaji viagra kwa sababu hata hizo raundi 3 ni nyingi kwa mapenzi ya kisasa. Achana na mapenzi hayo ya kizamani ambapo mwanaume kuonekana ngunguri alihesabu raundi kuanzia 5 na kuendelea. Mapenzi ya kisasa hata raundi moja inatosha cha msingi ni uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni mara kadhaa ndo kigezo cha umahiri wa mwanaume. Mimi mwenyewe ni mfano kwani katika raundi moja tu huwa namudu mechi kwa dakika 45 hadi saa moja na mwanamke kumfikisha kileleni zaidi ya mara 8. Ipi mechi nzuri, ile ya kukuruka raundi 5 bila kumfikisha kileleni mwanamke ama kukuruka raundi moja tu na mwanamke akafika kileleni mara kumi baada ya hapo anakupa 'ASANTE SANA' HALAFU analala kama mzoga kwa maana kuwa hana hamu tena.........naomba jibu

For promotional use only

cc: JF Marketer
 
Last edited by a moderator:
Kila baada ya bao mbili fanya hivi,tahadhari usizidishe dozi!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375182880029.jpg
    uploadfromtaptalk1375182880029.jpg
    18.1 KB · Views: 145
Chungu lakini ndio dawa yenyewe sasa, kama hutaki basi baki na migonjwa yako ya ki menopause


mimi sihitaji chochote kwenye hayo mamboa zaidi ya Brain yangu na Mbo.o yangu mkuu.............. hayo mengine ni mbwembwe tu.........
 
ndugu utapandisha mashetani, minyaa upakaze kwenye gobore, kama umekulia mjini hii kitu hauwezi kuijua inavyofanya kazi ila tuliokulia kijijini mtoto lazima ucheze na minyaa
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda
 
Kwa kujikumbusha hebu soma kidogo hiyo habari hapo chini!
[h=3]mjumbe wa uvccm-taifa akutwa amefariki hotelini jijni arusha[/h]


benson mollel​
habari na pamela mollel via jamiiblog -- aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu la umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) ngazi ya taifa kupitia mkoa wa arusha, benson mollel (26) amekutwa amefariki dunia ndani ya hoteli ya lush garden bussiness hotel iliyopo barabara ya vijana mkabala na jacaranda mtaa wa haile selassie katikati ya jiji la arusha.

Tukio hilo lililogusa hisia za wengi lilitokea ghafla tarehe 3 /3/2013 majira ya saa 6😱o mchana.

Kabla ya kukutwa na umauti benson alikuwa mfanyabiashara wa madini mkoani hapa ambapo kifo chake kimehusishwa na masuala ya kisiasa na kibiashara.

Marehemu mollel aliutwaa ujumbe wa baraza kuu la uvccm mkoani arusha mwaka huu akimrithi mkuu wa wilaya ya korogwe kwa sasa, mrisho gambo katika uchaguzi uliokuwa na mshikemshike huku akitajwa kuwa kambi ya waziri mkuu aliyejiuzulu,edward lowasa.

Vyanzo vya habari ndani ya hoteli hiyo vimedai kwamba marehemu alifikia hotalini hapo machi 2 mwaka muda wa usiku akiongozana na mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la nancy, ambapo walichukua chumba nambari 214.

Mmmoja wa walinzi hotelini hapo aliyejimbulika kwa jina la obeid mollel kutoka kampuni ya ulinzi ya victoria support services ambayo inaimarisha ulinzi hotelini hapo alisema kuwa marehemu aliingia na mwanamke huyo na kisha kuondoka kabla ya kurejea tena wakiwa wote usiku.

Alisema wakati wakiwa hotelini hapo, marehemu aliomba kuegesha gari lake jipya ambalo bado halijapata usajili lenye nambari 4093 gx 110 aina ya mark ii grande ambapo alikubaliwa na kisha kurejea chumbani na mwanamke huyo ambaye anatajwa kuondoka asubuhi ya siku ya tarehe 3/3/2013.

Majira ya asubuhi, mmoja wa wahudumu hotelini hapo alisema kuwa mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la maryam aliwasili hotelini hapo majira ya saa 5:00 na kuomba kupelekwa moja kwa moja chumbani kwa marehemu.

Mhudumu huyo alisema kuwa wakati mwanamke huyo akiomba kupelekwa chumbani hapo, marehemu naye alipiga simu mapokezi na kuomba mwanamke huyo apelekwe chumbani kwake ambapo walitekeleza jukumu hilo.

Mhudumu huyo alisema kuwa walimwona mwanamke huyo akitoka ghafla nje ya hoteli hiyo majira ya saa 6:00 mchana bila kumtambua sura yake ambapo hawakufuatilia chochote kwa kujua kwamba hakuwa na nia mbaya.

“sisi baada ya kumwelekeza yule dada chumba alichofia marehemu, hatukufuatilia, mlinzi alimwona akitoka tena nje ya geti, wala hakukaa muda mrefu,”alisema mhudumu huyo

mhudumu huyo aliamua kupiga simu ya chumba alichofia marehemu ili kujua endapo ataendelea kukodisha chumba hicho ama la, lakini katika simu ya chumba hicho ilikuwa haipokelewi.

Wakati hayo yakiendelea alisimulia kwamba mmoja wa wahudumu ambaye alikuwa akifahamiana na marehemu kwa muda mrefu aliamua kumpigia kupitia simu yake ya mkononi lakini nayo vile vile haikupokelewa.

Baada ya hatua hiyo mhudumu huyo aliamua kupanda ngazi kwenda chumbani kwa marehemu lakini katika hali isiyo ya kawaida alikuta mlango ukiwa wazi na mara alipomwamsha marehemu hakuweza kuamka na ndipo alipotoa taarifa kwa uongozi wa hoteli na kisha kuviarifu vyombo vya usalama.
 
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!
Sio kila ukishindwacho wewe wenzio hatuwezi,wengine sie tumekulia kwa babu-hatukua tunalishwa nyama na mayai ya kuku wa kiwandani!!-hii inawezekana kama unabisha muulize bujibuji


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom