nenda ulipotoa hizo pichawapi zinauzwa hiz?? nna shida nazo sana ani..anaejua aniambie plz...duka gani
umejoin yesteday unaanza na thread kama hii umetumwa wewe kutoka madale.wapi zinauzwa hiz?? nna shida nazo sana ani..anaejua aniambie plz...duka gani
unajua napoweza pata?umejoin yesteday unaanza na thread kama hii umetumwa wewe kutoka madale.
nmetoa google ionenda ulipotoa hizo picha
wapi zinauzwa hiz?? nna shida nazo sana ani..anaejua aniambie plz...duka gani
wapi zinauzwa hiz?? nna shida nazo sana ani..anaejua aniambie plz...duka gani
RaisKwanza diamond ni nani??
kupigia deki piaHizi ziko kule Madale, uwani kwa Diamond....majirani wanatumia kwa kupigia deki...wewe unazitaka za nini?
IG msg hazijibiwi labda niende ofsin kwao sijui sinzaNenda ofisini kwake au nenda ig au fb kwenye account yake akikujibu nishtue na mimi nipate moja afu mbona kuna mapovuu ya geisha mengi humu kwani kujoin jana dhambi watu wana id kibao
Rais wa nani? Mbona simjui huyu rais wako??Rais
kupigia deki pia
chukua picha ka design copy uswaz kwenu mbona easynmetoa google io
Usipo mjua basi mke wako anamjua kama una mke basi demu wako anamjua vizuri sanaRais wa nani? Mbona simjui huyu rais wako??
Na yeye kasema hamjui mkuu na hajawahi msikia!!Usipo mjua basi mke wako anamjua kama una mke basi demu wako anamjua vizuri sana
Nenda instargram utawakuta wote huko safari njemaNa yeye kasema hamjui mkuu na hajawahi msikia!!
Embu tueleweshane maana kuna majina mengi nayasikia humu mara konda..mara kiba huyu tena anaitwa diamond!! Siwaelewi kabisa!