Wana Jamiiforums naombeni mnisaidie wapi naweza pata Screen ya Toshiba Satelite L850? msaada wenu ni muhimu!
Nauza na kufix screen za Laptop aina zote pamoja na Accessories za computers.pia natengeneza Computers aina zote.
ofisi zipo k'koo mtaa wa Aggrey.Dsm.
0716-844978
naweza kuja ulipo kama upo Dsm
Mimi ukitaka nitumie hela ndiyo naweza kukutafutia kuna wengine wanasumbuwa watu unamtafutia halafu anapotelea huko bila hata taarifa. Kwa sasa wasiliana na huyu jamaa hapa chini
So utanitaftia kwa sh ngapi mkuu?