Nitapata wapi ramani za nyumba Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitapata wapi ramani za nyumba Dar?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mdau wetu, Apr 27, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wna JF nisaidieni, nipo dar nina shida na ramani ya nyumba, nitapata wapi? naomba msaada wenu
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Unataka ambazo zimeshachorwa tayari au unataka Archtect acheck site yako achukue idea zako achanganye na za kwake then akutolee nyumba unayohitaji wewe. Kama ndivyo ni PM nikuunganishe kwa Archtect (Designer na mchoraji wa ramani za nyumba). Nimesema uni PM maana sio mimi, so nitahitaji kujiridhisha kuwa upo serious. Si kila mtu hapa jamvini yupo serious.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Call no 0715865544 utapata bila longolongo! Ndo uzur wa jf ni zaidi ya huduma ya jamii!
   
 4. MADAI

  MADAI Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Architect, Kama ukiwa bado hujapata mtu wa kukufanyia design ya Ramani yako waweza kunitafuta kupitia anwani
  ya
  Email hii.

  architectmadai@yahoo.com
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Nenda pale Millenium Makumbusho kuna internate cafe inaitwa Stambuli karibu na Steers kuna architecture mmoja mkali anaitwa Kevin Mosha huwa mara nyingi anakuwa hapo kwenye benchi la nje kwenye hiyo cafe akifanya vitu vyake
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  na ushauri anatoa? mi nataka niporomoshe kitu unique
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  aghakhan hospital
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280

  architecture gani anashinda nje ya internet cafe mshauri vizuri usimuuzie mbuzi kwenye gXXXXA
   
 10. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante kwa ushauri wako, nimetembelea na kuona nyingi tu tena anuwai kwa anuwai
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kaka kwanini nimshauri vibaya kama huamini hebu google huyo jamaa ndio utaona kazi zake au nenda pale chuo cha ardhi kaulize hilo jina,pia kwa taarifa yako usione watu wanashinda pale wale karibu wote wana proffesional zao na wana kazi zao za nguvu,nadhani umetembea duniani,watu huwa na sehemu mbali mbali za kukutania mbali ya ofisi zao ikiwemo kwenye mikahawa ambayo huwa never miss kuwakosa
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
 13. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Lakini pia kabla hujachagua ramani lazima iendane na site. Mimi sio mtaalamu wa hivyo vitu lakini hizo ni ABCs ambazo layman yoyote anatakiwa azijue.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  tumia google mkuu..kuna kila kitu kule.
   
 15. d

  dulla Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utapata kwangu very cheap: kuanzia 200,000Tsh
  Call 4 details: 0654-445368
   
 16. d

  dulla Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utapata kwangu very cheap: kuanzia 200,000Tsh
  Call 4 details: 0654-445368
   
 17. khauka

  khauka Senior Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama uko serious unaweza fika hapa chuo cha Ardhi au tuwasiliane kwa namba 0783838338 maswala ya bei tutaelewana..
  Kazi njema
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa mmoja ndo kazi zake hizo, wala hana hata bei, anakuchorea raman pamoja na kukutolea picha kana kwamba nyumba ndo ishajengwa ikapigwa picha kwa 150,000/=, mtafute kwa 0715 562 499
   
 19. khauka

  khauka Senior Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 20. khauka

  khauka Senior Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Helo email yangu ni kassimkaurly@yahoo.com
   
Loading...