Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,951
- 2,694
Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu!
Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema nitapata wapi mikopo ya mitandaoni maana huko kote nimechukua app zao zote na kujisajiri lakini kote nimeangukia pua empty wazungu wanasema hakuna kitu😁hicho ni kimombo
Sasa basi sijatimiza vigezo Gani nikopee huko wasee oyee Ninataka kuchukua huko hela hawataki kunipa, Nina line za mitandao ila sijatimiza vigezo vya kukopesheka😔wakuu
NB: ata mtu binafsi wakuu Sina dhamana ila kitambulisho cha nida