Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 241
Kama upo Dar nenda karibu na Wizara ya Maliasili na Utalii kuna duka la samani, niliwahi nunua hapo kama hivyo.
Kama upo hapa dar nenda mitaa ya fire utavikuta kila aina ya kiti ukitakacho
CO-CABSNenda maeneo ya Cokeps kama unaekea gerezani karibu na shell au Imagration Ilala ya zamani kuna maduka kama mawili utavipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ganiNinavyo viti sana sana mpaka recliner vya ofisini toka UK, SIMU 0712652110 DAR
Bei gani