Kununua online sikuhz ni simple sana. Una tengeneza tu Mpesa Mastercard. Kule aliexpress unaweka address (kwa urahisi weka tu dar es salaam, posta). Unaagiza bidhaa zako zikifika app inakuambia kwamba bidhaa yako imefika TZ. Itakuambia ukachukue posta. Uaenda posta na tracking number wanakupa mzigo wako. Na vitu vya bei ndogo hvyo haulipi kodi.
Ila ni kweli kma unaweza kuvipata huko mnazi mmoja au kkoo nunua tu ila ukikosa huko usiwe na hofu ya kuagiza nje. Hata mzigo usipofika unarudishiwa hela yako.
View attachment 1696472View attachment 1696471
Sent using
Jamii Forums mobile app