Nitapambana na Lyatonga 2015

Aisee, atakaejaribu kuchukua jimbo langu njii ya Vunjo nasema kwe, nasema kweli haitakalika jamani!



Kama ni kosa walifanya watu Vunjo ni kuchagua Lyatonga Mrema aka mzee wa kiraracha. Mzee huyu ni balaa tupu hamna cha maana anachofanya bungeni zaidi ya kubwabwaja tuu akijifanya mpinzani kumbe hamna kitu. Namwambia akae mkao wa kutoka na watu wa vunjo tusirudie kosa tena huyu ni kibaraka wa CCM.
 
Back
Top Bottom