Nitaongezaje ukubwa wa jembe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

Discussion in 'JF Doctor' started by big galacha, Jun 5, 2011.

 1. big galacha

  big galacha Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani kiukwel cfuraìshw na ukubwa wa dude langu! Embu wadau nisaidien namna ya kuliongeza ukubwa bila ku2mia dawa za wamasai au za kihindi!
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Unataka kulima kwenye matope au magugu Mkuu?? Jembe linafaa tu usijali matumizi ndo issue
   
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Unaonaje ukajaribu za WACHINA?
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wiki kmbaya sana hii kwa majembe
   
 5. vena

  vena JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumia androgens
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Matumizi sio? sio ukubwa wa shimo?
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,462
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa anayejua suruhisho amsaidie mwenzetu asije akajikuta anapata kesi kwa kulazimika kutafuta watoto wadogo
   
 8. big galacha

  big galacha Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ucnambie hata dogo linakuna fresh 2?
   
 9. big galacha

  big galacha Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunani kwani shosti?
   
 10. big galacha

  big galacha Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo nini hzo? Hazina side effects?
   
 11. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Kuna kifaa kinaitwa Handsome Up, hicho unavesha hukoooo! halafu unapampu nasikia baada ya miezi mitatu jembe linakuwa TREKTA (anayekifahamu au aliyewahi kutumia atujuze zaidi), Halafu kuna mbinu ya kutumia mikono yako kukuza mpini wa jembe ni mazoezi ya kila siku niliyajua miaka mingi iliyopita anayefahamu atujuze au atukumbushe kwani mimi nimesahau utaratibu wa yale mazoezi.
  Pia naomba kujua kutoka kwenu hivi jembe zuri inatakiwa liwe na angalau sentimeta ngapi?
   
 12. big galacha

  big galacha Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sure mwanangu! Me niko criaz kwel yani
   
 13. big galacha

  big galacha Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo mazoezi yananivutia zaid! Hv ndo inakuaje tena Gazet?
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  some women are much more impressed by the thickness of a penis, rather than its length. This is because some females like the sense of feeling stretched round the entrance to the vagina – so if a guy is quite broad at the base of his penis, this can feel very exciting and satisfying to such women
   
 15. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Ngoja niangalie Library kama bado ninazo nondo za kushusha hapa!
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli hii kitu ina matter kwenye mahusiano, si bure!
  Hata kama anapata kila kitu na anapendwa sana, kama hii kitu ni ndogo . . . . unakuwa matatani
   
 17. s

  strawberry1 Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh!?!!!!!!!
  Mie napita tu
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Mbinu hii inaweza kukusaidia lakini itachukua muda kidogo. Tafuta aina yoyote ya mafuta laini km ya nazi n.k. Kila siku asubuhi, ukipata nafasi hata mchana, na jioni fanya mazoezi ya kuivuta kidogo kidogo kama unaichua vile. Hakikisha unakuwa na rula ambayo utaitumia kupima urefu kila baada ya wiki mbili. Kazi njema angalia usije kunogewa ukazidisha kipimo. Feedback after six months
   
 19. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Thats y unakuta africa mwanaume unawatoto saba mpaka kumi na tano. Hiv africa hakuna starehe nyingine zaid ya ngono
   
 20. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  mie nipeni dawa ya kupunguza nyege jamani
   
Loading...