Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

nenda katika maduka ya dawa za asili, nunua
1. unga wa alkisusi changanya na kistul unga wa kistuli hindu pamoja na zaatal
2. chemsha maji kiasi , kisha changanya na mchanganyiko huo. ukipoa tumia mara tatu au nne kwa siku
baada ya siku 21 utaaanza kuona matokeo
 
Please pay a visit to Dr. Ndodi Isaaak!!!! atakupa dawa mie kesha nitibia jembe limekuwa kubwa imenibidi nishone suruari mpya yenye mfuko... sasa ishakuwa tabu.
 
Mbinu hii inaweza kukusaidia lakini itachukua muda kidogo. Tafuta aina yoyote ya mafuta laini km ya nazi n.k. Kila siku asubuhi, ukipata nafasi hata mchana, na jioni fanya mazoezi ya kuivuta kidogo kidogo kama unaichua vile. Hakikisha unakuwa na rula ambayo utaitumia kupima urefu kila baada ya wiki mbili. Kazi njema angalia usije kunogewa ukazidisha kipimo. Feedback after six months
inaitwa milking au jelking techniques.ni muhimu kujua procedure ili kupata mafanikio. Otherwise utajisumbua tu.
 
kuna kifaa kinaitwa handsome up, hicho unavesha hukoooo! Halafu unapampu nasikia baada ya miezi mitatu jembe linakuwa trekta (anayekifahamu au aliyewahi kutumia atujuze zaidi), halafu kuna mbinu ya kutumia mikono yako kukuza mpini wa jembe ni mazoezi ya kila siku niliyajua miaka mingi iliyopita anayefahamu atujuze au atukumbushe kwani mimi nimesahau utaratibu wa yale mazoezi.
Pia naomba kujua kutoka kwenu hivi jembe zuri inatakiwa liwe na angalau sentimeta ngapi?
wewe unajua kila kitu,ulishajaribu unataka nani tena akusaidie kueleza???
 
Mkuu, wahi loliondo....tulioenda tunaendeleza kilimo kwanza bila wasiwasi, majembe yamekuwa makali sana.
 
Hakuna ki2 kama hicho. Miye nna kajembe kadogodogo hv, lakini balaa lake usipime, wanasimulia wenyewe. Mungu kanijaaliya kama ya bata vile lkn hata wale ambao waume zao wana mishipa ya sokwe wananiletea daily,,,, hapo ndipo ninaposhangaa,, huwa wanapenda nini?????
 
Mbinu hii inaweza kukusaidia lakini itachukua muda kidogo. Tafuta aina yoyote ya mafuta laini km ya nazi n.k. Kila siku asubuhi, ukipata nafasi hata mchana, na jioni fanya mazoezi ya kuivuta kidogo kidogo kama unaichua vile. Hakikisha unakuwa na rula ambayo utaitumia kupima urefu kila baada ya wiki mbili. Kazi njema angalia usije kunogewa ukazidisha kipimo. Feedback after six months

Mkuu hiyo zoezi la kutumia mafuta ishu,utajikuta unacheza mchezo wa sabuni,sasa sijui hapo itaendelea kukua au ndo umeharibu dozi
 
Mbinu hii inaweza kukusaidia lakini itachukua muda kidogo. Tafuta aina yoyote ya mafuta laini km ya nazi n.k. Kila siku asubuhi, ukipata nafasi hata mchana, na jioni fanya mazoezi ya kuivuta kidogo kidogo kama unaichua vile. Hakikisha unakuwa na rula ambayo utaitumia kupima urefu kila baada ya wiki mbili. Kazi njema angalia usije kunogewa ukazidisha kipimo. Feedback after six months
mi nilitumia mafuta ya mzeituni ,extra virgin
 
Back
Top Bottom